Search results

  1. fxb

    How to Send a Fax From Your Computer No Fax Machine

    Thank you nilikuwa natafuta hii kitu nitaijaribu kuitumia
  2. fxb

    Kitu Perfume. . . .

    Mwanzoni mwa 2000 nikiwa uwanja wa ndege wa DSM nashangaa shangaa kwenye yale maduka ya kwetu yanauza viyu kwa USD mie mimacho kwenye perfumes akaja mdada mmoja akaniambia please chukua LOLITA LEMPIKA mie nikiisikia hiyo.... alinifanya niinunue
  3. fxb

    NItamjuaje baba wa mtoto!!!

    Na asilimia 20 ya binadamu walio baki....
  4. fxb

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Ok hasa tunafikia bilioni 7...... Kwa TZ wanasayansi jamii wanasema asilimia 96 ya wakinamama wenye umri wa miaka 15 mpaka 49 ambapo wengi wao wanaweza kupata ujauzito bila kipingamizi wameshawahi kusikia kwamba kuna njia za kupanga uzazi. ambao hawajaolewa ni asilimia arobaini na ushehe hizi...
  5. fxb

    Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne

    Do umenishekesha sana haya ngoja tuone akishajua presha itakuwa imepanda au kawaida?
  6. fxb

    Zingatia haya kuimprove speed ya computer yako

    Thats why I like this forum.... Asante kwa kutukumbusha
  7. fxb

    kujiandaa kuwa mjamzito nini kinahitajika

    Mimi ningeshauri kwanza utayari wa wote wawili as it takes two to tango hasa kisaikolojia maana yaliyosemwa na wote ukiwa na mwenza maisha yanakuwa mswano. kwenda kliniki ya mama na mzazi mapema iwezekanavyo itasaidia sana kuona viashiria vya hatari mapema zaidi na kupata ushauri ya jinsi mimba...
  8. fxb

    Msaada Tatizo la macho

    Pamoja na kukupa pole na kutumia habbat swauda nakushauri kapime macho yako sijui uko wapi kama ni kule DSM CCBRT waweza kugundua kama ni temporary or parmanent disorder na kama ulivyosema macho ni ishu nyeti ....utakuo husomi pole za feis buku oohooo
  9. fxb

    Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Swadacta.... Hakuna shaka hata kidogo. Ukienda India (South India.....Madras, Mysore, Bangalore nk) kila mlo utakuta wanakuwekea na vitunguu kibao wee utafuneee ili upate japo faida hata moja. Big up!
  10. fxb

    Je kweli nimerogwa? Uko uchawi? Naomba msaada. Dada yenu kutoka ujerumani

    Mmmh pole sana ila waswahili wana mambo sana inabidi Mahona jaribu kuona viongozi wa ko wa dini na wazazi na watu wazima. Kama ulivyosema ww ni mcha Mungu muombe akuonyeshe njia na tiba ya maradhi yako, hilo ndio muhimu kama maradhi yatakuwa yameletwa na uchawi utakuwa umetibu na ww uko salama
  11. fxb

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Du ushauri na mziki huu mziki ni ujumbe tosha kabisa greatest love of all utajikuta Mungu amejaalia neema yake
  12. fxb

    Choo cha passport size

    Mara kadhaa nilizobahatika kukatiza mitaa ya uswazi huwa kina dada na kina mama wanapenda kukaa hasa jioni wakijielekeza usawa wa hiyo WC. Unakuta ametoka zake kibaruani na vimaji sijui robo ndoo na kijitaulo kimeisha ndani ya guni ana kitaulo kinaning'inia.....kuko nje utasikia hoohohohooo...
  13. fxb

    jinsi gani naweza ku divert

    Kuishi kwingini kuona mengi
  14. fxb

    Ni siri kubwa....

    Siri ya nini...... nani aliimba vile
  15. fxb

    MJUSI KAFIRI

    Du umeshaniwahi na atavar hiyo Big up Mashaa allah!
  16. fxb

    SALAAM kutoka jikoni

    Nakubali mambo ni mengi sana.....
  17. fxb

    Ni kwa nini miss judy?

    Hongereni waungwana karibu mtapatana Nimesoma na nanena kuwaombea bayana Mtamjua tu sana bila hata kulumbana Waji na yake tabia kuhusu huyu bi Judy
  18. fxb

    Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

    Mabumunda na chai ya rangi asubuhi
Back
Top Bottom