Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia!
Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza.
Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira...
Kufanya biashara ya Kuonesha Mpira wa miguu; Fursa iliyoko nje ya pazia!
Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza.
Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira kuliko...
Kama kawaida; kwenye mbio za kilimarathon; wakenya huwa wanazota tuzo zote katika kategories za mbio. Mwaka jana tu ndo mtanzania mmoja alitutoa kimasomaso kwa kushinda kategori ya Mita 21 kwa kuibuka mshindi na washindi wengine walofata walikuwa wakenya.
Hata leo kwenye hizi mbio za...
Bonjour! bonjour! bonjour!!
Hello! hello! hello!!
Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa.
Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
Bonjour! bonjour! bonjour!!
Hello! hello! hello!!
Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa.
Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
Bonjour! bonjour! bonjour!!
Hello! hello! hello!!
Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni maneno Lukuki ya Kifaransa.
Pengine kwa kuwa sifa moja wapo za Lugha ni kukua na katika ukuaji wa...
Wasalaam wanajamii!
Toka mwaka huu uanze na hasa hasa kuanzia tarehe 19 mwezi januari baada ya kutoka kwa ile barua ilokuwa ikiwaelekeza wakuu wa mikoa kupitia wakurugenzi na maafisa elimu kupungunza walimu wa sanaa na kuwahamishia shule za msingi zilizopo karibu; zoezi lililopangwa kukamilika...
Habari wana jamii.
Katika shule za Sekondari za hapa nchini kunafundishwa masomo mengi tu na masomo hayo yamegawanyika katika makundi makuu Sita. Yaani:
1. Masomo ya Science
- Physics
- Chemistry
- Biology
-" Geography"
2. Mathematics
3. Masomo ya Arts
- History
- English Language
-...
Toka mwaka huu uanze; walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini wamegubikwa na simanzi ikiambatana na Msononeko juu ya Hii operation inayotekelezwa nchi nzima ya kuwahamishia shule za msingi.
Waraka uliotolewa unadai kuwa Walimu wa sanaa katika shule za sekondari ni wengi sana hadi...
sasa ni lunchtime
tufunge makazi
twende kwa chakula
tuje tena saa nane
wengine wanakwenda
kulala uwanjani
kumbe ni shida ndugu
njaa inamwumiza
wengine wanakunywa
soda na keki
huku roho yote
kwa chapati na ng’ombe
na wengine nao wazunguka maduka
huku wakijidai
wanafanya window shopping
kufika...
Kwa hakika hakuna Mtanzania hata mmoja ambae hamuungi mkono Mh. Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenye hii azma yake ya kutaka nchi iwe na uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda.
Raisi wetu mpendwa toka aingie madarakani amekuwa akihubiri uchumi wa viwanda na yeye ni mwumini sana...
Kwa hakika hakuna Mtanzania hata mmoja ambae hamuungi mkono Mh. Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenye hii azma yake yakutaka nchi iwe na uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda.
Raisi wetu mpendwa toka aingie madarakani amekuwa akihubiri uchumi wa viwanda na yeye ni mwumini sana wa...
Binafsi namkubari sana Raisi wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa utendaji wake usiotia shaka.
Namkubari wani ana wasifu mzuri wa kuona kila kitu anachopenda kifanyike na hasinzii wala halali mpaka pale tu kitu hicho au jambo hilo limetekelezwa. Ni optimist.
Hapo nyuma tulitangaziwa kuwa Tv...
Binti wa kazi ni msichana wa umri kati ya miaka 14 hadi 18 ijapo kuwa kuna wengine wamezidi umri huu hadi wengine kabisa kuwa watu wazima; wa mama wa makamo na hadi ma bibi vizee.
Binti wa kazi kwa sasa imekuwa changamoto kuwapata hasa baada ya hii sera ya Elimu bure kwani hapo nyuma mabinti wa...
Habari wana Jamii.
Binti wa kazi ni msichana wa umri kati ya miaka 14 hadi 18 ijapo kuwa kuna wengine wamezidi umri huu hadi wengine kabisa kuwa watu wazima; wa mama wa makamo na hadi ma bibi vizee.
Binti wa kazi kwa sasa imekuwa changamoto kuwapata hasa baada ya hii sera ya Elimu bure kwani...
Kwa kujadili hii maada ( Mapenzi; mahaba siraha ya mafanikio; nimependelea kwanza nioneshe historia japo kwa ufupi ya safari ya maisha kati ya hawa wanamziki wa Tanzania Belle 9 na Diamond tuone jinsi gani mmoja wao Mahusiano ya kimapenzi yalivyo ng'alisha juhudi zake kikazi na kufanikiwa na...
Kwa kujadili hii maada nimependelea kwanza nioneshe historia japo kwa ufupi ya safari ya maisha kati ya hawa wanamziki wa Tanzania Belle 9 na Diamond tuone jinsi gani mmoja wao Mahusiano ya kimapenzi yalivyo ng'alisha juhudi zake kikazi na kufanikiwa na leo hii ni billionaire.
Kwa wasiojua...
Kwa wasiojua Diamond na Belle 9 wote walitoka kipindi kimoja kama sijakosea mwaka 2009 hivi. Wote hawa walikuwa maunderground. Belle 9 akitokea Morogoro mji kasoro bahari pale mtaa wa Mafiga. Wengi walianza kutabiri kuwa kijana huyo mdogo ( Belle 9 ) alikuwa amekuja kujaza nafasi ya mkongwe na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe Juma mosi December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii. Moja ya vitu ambavyo Dr. Mwakyembe alivizungumza ni kuhusu...
Habari wana jamii
Hii methali ya kiingeleza " If you can't beat them join them. Hii inamaana kwamba ukiona unayegombana nae amekuzidi nguvu; kete au mbinu na kila kitu huna haja ya kunyoosha mikono juu na kujisalimisha au kutimua mbio bali yakufaa kuomba msamaha na kuwa rafiki yake na kuungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.