Search results

  1. Da Pride

    Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Sitosahau Kwa Mara ya Kwanza nikiwa Multipurpose Hall, lecture mmoja akijisemea "Love me before your death" [emoji28][emoji28][emoji28]
  2. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Sorry comrade, naishia hapo ful stop [emoji114]
  3. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Nina wasiwasi na Uwezo wako wa kumbukumbu. Uwezo wa memori yako itakua 1KB lazimaaaa
  4. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Tema mate chini na uwe na Adabu ebooo. Labda kabla hujanipigia kelele nenda club rankings in Africa, then uje na mipasho yako asse.
  5. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Mbona unaota Kweupe hivo mkuu... Itawachukua Miaka 10 ijayo kufika japo Robo fainali ya CAF Champions league plz mark my words. Mnaidharau Simba kwa kua mnashinda nayo na Mpo ligi moja ila wenzenu wanavyoitaman hata National Team hamtaamin. Uto is Uto only. #Simba#Nguvumoja.
  6. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Ikumbukwe Mafanikio ni Mchakato...
  7. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Hahah Uto mnajua kutukeraaa [emoji23][emoji23] tatizo lenu mnawekeza kwenye kelele nyingi na kikosi chenu cha kauka nikuvae.
  8. Da Pride

    Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

    Jizime Data tu, ila huyo Kolo ndo anawafanya mjione mpo kwa ligi Bora. Hii inatokana na hasa ubora wake when it comes to International Football Competitions. Mara ngapi Uto wanaenda kimataifa wanaenda kulitia aibu Taifa na League yetu? Huyo Uto anayejitutumua ndani ya League ni wangapi Kwa...
  9. Da Pride

    Waziri Mkuu wa Australia atetea kufungwa shughuli za umma kupambana na COVID-19

    Hapo nauona mpango wa kudhoofisha uchumi wa dunia (Great Great Economic Depression) ili baada ya Curfew &total lockdowns of some countries mtajipata almost 70% world Demographic ni masikin wa kutupwa. Huo ndo utakua mwanzo mzuri wa kutekeleza their AGENDA.
  10. Da Pride

    Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    Don't worry Narrator...
  11. Da Pride

    Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    Following...
  12. Da Pride

    Serikali ilitoa maagizo ya maandishi kwa TFF maana isije kuwaruka

    Kwan hii ni mara ya kwanza kuahirisha match? Kama sio, je why game nyingine walikubali muda kubadilishwa na hii waigomee???
  13. Da Pride

    The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

    Nadhani tunahitaji kumpuuza mtu huyu, lazima atakua na 10% kwenye project hiyo anayoipigia upatu.
  14. Da Pride

  15. Da Pride

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Not Msibani, I mean MSEVEN
Back
Top Bottom