Search results

  1. M

    INAUZWA Nauza smartwatch nzuri

    Saa ni mpya kabisa Z51 smartwatch 8 Ina watch faces za apple watch series 8 Unapata na mikanda pair 2 Bei 45,000 Tshs Maongezi yapo Naomba radhi picha hazina ubora Tuwasiliane 0693010101 NB: Kama unatumia iPhone 13 pro max au iPhone 14 pro max nitakupa na cover jipya bure kabisa. Nilijaribu...
  2. M

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Storage 64gb Battery health 95% Touch id inafanya kazi Ina cracks kidogo kwenye back glass ila imewekewa back glass protector Bei 400000 tu Kama upo dar au kibaha nakuletea ulipo nina shida na hela wakuu Nicheck whatsapp 0693034903 au sms 0693010101
  3. M

    Naomba tujuzane kuhusu wakimbizi wa Kitanzania

    Jana nilikua nasikiliza redio nikasikia taarifa moja ya serikali ya Uingereza haiwatambui wakimbizi kutoka Tanzania sijajua sababu ni nini lakini si Tanzania tu kuna baadhi ya nchi nyingine kama Ghana na Kenya.Kwa mantiki hiyo basi ukizamia Uingereza kwa kisingizio cha ukimbizi kwa Mtanzania...
  4. M

    Jamani hii sasa ni girisi tosha nitaiuza samsang galaxy mpya kwa 300k tu

    Baada ya vyuma kukaza kwa wiki kadhaa sasa nakuuzia hii simu kwa bei poa 300000 tu Sifa Fingerprint scanner Storage 32gb Ram 2gb Screen: 5.1inches Colour: white Condition: new Andriod :version lollipop Ncheki sasa tufanye biashara 0738324737 npo DSM
  5. M

    Nauza samsung galaxy s5 ni mpya kabisa haijawahi kutumika

    Specifications [emoji818]️Ina fingerprint sensor [emoji818]️single sim card [emoji818]️32gb storage Bei 400000/- tu Napatikana DIT Mawasiliano 0693010101 / 0738324237 Maelewano yapo pia
  6. M

    Kama ushalipia domain name lakini bado ikawa haipatikani kwenye google tatizo ni nini?

    Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
Back
Top Bottom