Mkazi mmoja wa Owosso Michigan nchini Marekani, Howard Kirby.
Amewashangaza wengi baada ya kukuta US $43,000 (TZS Milioni 98)zikiwa zimefichwa katika kochi la mtumba alilonunua, na kuamua kumtafuta mmiliki wa mwanzo wa kochi hilo na kumrudishia.
Ungekuwa Kirby ungefanyaje?
Sent using Jamii...
Waziri wa fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema wenyeviti wa bodi 36 ambao taasisi zao hazijawasilisha GAWIO serikali kuu siku ya tarehe 24 Januari 2020 wasiende ofisi.
Kwa sababu uteuzi wao utakuwa umeshatenguliwa
Taasisi 13 pekee zimeweza kuwasilisha Gawio ambazo ni;
1.Chuo kikuu cha Dar...
Salaam wana JF
Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia mitandao ya simu kuwa wanatuibia mb's na gb zetu kwa kasi ya ajabu.
leo hii huko twitter Lady Jay Dee kashangaa, kuwa alinunua 10gb majira ya saa10 jioni, na ilipofika saa za 3 usiku alizima data. kufika siku ya pili saa6 mchana amekuta...
Salaam wana JF,
Daima mwezi Januari ni kipindi kigumu sana kwa mtu mwenye majukumu lakini mara nyingine hata wasio na majukumu hujumuishwa kwa kupigwa mizinga, kukopwa au kusaidia.
Pango la nyumba, kibanda cha biashara, ada za watoto shule, usafiri, sare za shule, michango kibao na nk...
Sisi binadamu ni viumbe dhaifu na wasahaulifu, na kuna maamuzi mabaya uwa tunayachukua kwa hasira na hisia hivyo kupelekea kuumiza wenzetu.
Nipo kwenye group la WhatsApp ambapo hivi karibuni mwenzetu mmoja katangulia mbele za haki. Hata namba yake admins wameshindwa ku-remove sababu ya majonzi...
Mwaka 2008 nilikuwa napata unit 54 za umeme kwa Tsh. 10,000. Hali hiyo ilibadilika kwa kasi ya kimbunga kwa kuongezwa bei ya umeme mfululizo kiasi kupandisha matumizi yangu kwa ajili ya umeme hadi 25,000 yani matumizi ya kawaida kabisa
Baada ya kuondolewa service charge kidogo kumekuwa na...
Wasalaam wanaJamiiForums, nijikite katika mada.
Zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura likiwa likielekea ukikongoni ni dhairi uchaguzi upo jirani sana.
Kwa kuwa walioandikishwa hawatolazimishwa mtu wa kumchagua, kila mtu atamchagua mgombea atayempenda. Hivyo inathibitisha kwamba...
Wasalaam wana jamii forum, hii stori nimeipata leo na mimi ni baba wa watoto wawili wakike mmoja 8yrs wa pili 2yrs , hii simulizi imenipa funzo. kuhusu kuishi vema na majirani lakini pia kuongea na watoto kwa upole na kuhakikisha baadhi ya huduma zao zinafanywa na mama yao sio housegirls...
salaaam, kuna stori kadhaa wa kadhaa wenzetu walizianzisha kwa moyo mmoja na wameshindwa kuzimalizia kwa sababu ya kutangulia mbele za haki, Roho za marehemu zipumzike kwa amani
Wanajamii awali ya yote namshukuru Mungu kwa kuendelea kuruhu niwe hai, Pia naomba marehemu wote na hasa Kapt Komba aendelee kupumzika katika makazi ya kudumu kadili anavyostahili.
Nimekumbuka lile jimbo lake matata,
[emoji445]sasa kumekucha jogoo limekwisha wika dodoma
kada wa ccm apewe kura...
Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB lakini niliambiwa kuna gharama.
Tangu nikutane na habari hiyo nimeingiwa uvivu, nimeacha waendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.