Search results

  1. General Akudo

    Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    serikali ya jpm ilikuwa ngumu mtu kuweza kukosoa kwa hofu. serikali ya ssh unajihisi upo huru kutoa maoni au kukosoa, ila ujiandae kuchambwa
  2. General Akudo

    Leo nimeamini "wapiga vibomu" wa jero jero za fegi sio wakuwapuuza ni msaada mkubwa ukibainika

    huyu mwana hana shida na mtu, mambo ya mtonyo jero. mimi hata yebo nimelipa 2k hana chenji simkazii
  3. General Akudo

    Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Ni shida watu wengi wanazo namba tu za kitambulisho cha NIDA, kitambulisho haijulikani kitafika lini. Inaleta usumbufu mkubwa sana
  4. General Akudo

    Tabia ya Kiasili ya 'Kijamaa' tuliyonayo Watanzania tunapokuwa nje ya nchi ina faida kwetu au inatufunga kimaarifa na kimaendeleo?

    Kama mnashirikiana kunasuana katika kadhia mbalimbali sioni shida, kama mnasaidiana kuonyeshana michongo haina shida.
  5. General Akudo

    Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

    President Samia alimweleza yule bwana CAG, taarifa zako ziwe wazi hasa za mashirika ya umma utayoleta. sio kuficha ficha. bado hatujaelewa tu? sisi wananchi ni haki yetu kujua muhstakabali wa mali zetu, serikali kama kuna mahala media wamezingua basi jambo la kwanza wakanushe kwa fact. sio mambo...
  6. General Akudo

    Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    mwanamke akiweza kuwa mtiifu kwa mume wake ndipo atapata mrejesho wa upendo. na kwa sababu wanaume tunaaswa kuishi kwa akili na wake zetu basi tunapaswa kuhakikisha tunaweka mazingira mazuri kupelekea utii. lkn ukiona umefanya juhudi zote na bado hakuna mafanikio, basi ubadilike wewe.
  7. General Akudo

    Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    Mara baada ya vita ya pili ya dunia, ujerumani ilipokwa makoloni yake ikiwemo tanzania na kupewa muingereza. kipindi cha ukoloni kenya ikiwa milki kamili ya muingereza na tanzania ikiwa ni milki ya UN na uingereza alipewa kutuongoza tu maana tulikuwa bado hatuwezi kujitawala. uingereza...
  8. General Akudo

    Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Sumu kuvu ipo kwenye mahindi yetu au haipo? sababu ukisoma kuhusu kuvu ni kwamba inaweza kuzalishwa ama muda wa kuoteshwa, kuvuna, kuyachakata/kupuchua, utunzaji au yanaposafirishwa. njia gani tutumie kuthibiti sumu kuvu, kwa sababu kama ina madhara itatuua au kutuathiri pia watanzania. ndio...
  9. General Akudo

    Neno la Leo: "Apandacho mtu ndicho atakachovuna"

    tatizo watu tuna shauku kuona muovu yule kapata balaa, ila hakuna kuchelewa wala kuwahi muhimu ni kupambana na hali zetu Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  10. General Akudo

    Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    SUMUKUVU ni kemikali zinazozalishwa na aina za fangasi /ukungu/kuvu wanaoota kwenye punje za nafaka, mbegu za mafuta, mikunde na mazao ya mizizi Mahindi na unga wake na karanga na bidhaa zake huathiriwa zaidi na sumukuvu. Mazao mengine ni korosho, muhogo, alizeti, mtama na mchele. SUMUKUVU pia...
  11. General Akudo

    RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

    nafsi moja ndani yake kuna nafsi nyingi kinzani, ni vile kudinda tu maana hakuna tofauti baina ya ukweli na uongo, uovu na wema. kila mtu akiendelea kulinda na kutetea maslahi yake kwa gharama ya kujitoa ufahamu
  12. General Akudo

    Mavi ya tembo yanaweza kusaidia kupambana na virusi vya Corona???

    Mungu mkubwa haujafa kwa kujifukiza moshi wa mavi, sababu hapo mlikuwa mnavuta carbon dioxide. hakina umeshinda
  13. General Akudo

    Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    sisi waafrika lazima tujifunze kukabiliana na matatizo yetu kwa fikra zetu na njia zetu wenyewe. hii corona haitoondoka, ipo na itaendelea kuwepo kwahiyo jambo la msingi kujielimisha vya kutosha ili tuwe na ufahamu mzuri kuhusu tiba uhusani za asili. fusho tufanye lakini tuzingatie mambo ya...
  14. General Akudo

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Ugonjwa gani? Sisi taifa letu matatizo yetu tunamuachia Mungu
  15. General Akudo

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Kwani kipimo cha haja kubwa kimeshaanza kutumika?
  16. General Akudo

    Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    huu ugonjwa kama unatisha hivyo basi hatupaswi kuwa na muda wa kuzurura mijini na kufanya matamasha na mikutano.
  17. General Akudo

    Kwanini tunalea watoto wetu kwa vipigo na vitisho?

    mimi ninachojua, kila mmoja wetu ana vita yake kulingana na mazingira, umri, na fursa alizomo. watu wazima pamoja na kupata mawaidha, masomo ktk vitabu vya dini na mafundisho mbalimbali bado tunahitaji sheria na adhabu kali ili kupunguzwa kasi. mfano kula vitoto vya shule jela 30yrs watoto...
Back
Top Bottom