Search results

  1. Chigwiyemisi

    Watumiaji wa NETFLIX naomba msaada tafadhali

    Wakuu heshima sana! Tafadhali naomba msaada wa jinsi ya kufanya malipo kwenye netflix. Awali sikuwa na shida na nilitumia VISA card kujisajili kwa ajili ya malipo. Baada ya VISA card ku-expire nikapewa mastercard. Lakini nikitaka ku-update payment kwa kuingiza namba mpya za kadi yangu ya...
  2. Chigwiyemisi

    Ushauri: Chuo kizuri cha Engineering India

    Wanajamvi heshima mbele. Naomba kujua kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu vyuo vya India vinavyotoa Degree ya Engineering (Civil) na makadirio ya gharama zake. Nina binti yangu nataka nimpeleke huko. Naomba pia kwa anaejua anishauri njia rahisi za kuomba nafasi na pia ubora wa elimu yao. Nawasilisha
  3. Chigwiyemisi

    Msaada tafadhali: Biashara ya pembejeo za kilimo

    Wadau habari zenu. Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa kivilee.
  4. Chigwiyemisi

    Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    Hivi karibuni kabla rais mstaafu JK hajaondoka Ikulu Maalim Seif alifanya nae kikao Ikulu ya Dsm kuhusiana na mgogoro wa Zanzibar. Hata hivyo baada ya hapo haikutolewa taarifa rasmi juu ya walichozungumza au kukubaliana. Kilichotokea CCM wameendelea na msimamo wao na Maalim Seif hajaueleza umma...
  5. Chigwiyemisi

    Msaada: Shule ya A-level inayofundisha PGM kwa wasichana

    Wadau heshima mbele.. Naomba kujuzwa shule nzuri ya wasichana ambayo wanafundisha Combination ya PGM. Binti yangu amefaulu vizuri Form IV na ufaulu wake unamuwezesha kusoma PCM au PGM. Kwa sasa amepata shule yenye PCM lakini yeye anapenda sana kusoma PGM. Naomba msaada wa ushauri kwani napenda...
  6. Chigwiyemisi

    NEC yasisitiza kura ya maoni iko pale pale 30 April 2015

    Katika hali inayoendelea kushangaza Tume ya uchaguzi imesisitiza kuwa kura ya maoni ni lazima ifanyike 30 April 2015 kama ilivyopangwa. Ikumbukwe kuwa zoezi la uandikishwaji kwa BVR limeshatumia karibu mwezi mmoja kwenye mkoa mmoja. Sijaelewa NEC wanatarajia kufanya miujiza gani kukamilisha...
  7. Chigwiyemisi

    Ipi ni Shule nzuri ya wasichana ya A-Level mkoa wa Moshi?

    Wadau heshima kwenu, Naomba msaada kwa mtu anayejua shule nzuri ya Private kwa wasichana ya "A" level. Napenda iliyoko Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla. Kama kuna mwenye mawasiliano na Shule ya St. Mary Goreti au Anuarite naomba aniwekee hapa tafadhali.
  8. Chigwiyemisi

    Prof. Muhongo, tafadhali msaidie Mh. Rais

    Wanabodi, Baada ya kuisikiliza kwa makini hotuba ya Mh. Rais na wazee wa Dar, ambapo alitengua uteuzi wa Prof. Tibaijuka na kumuacha Prof. Muhongo nilibaini yafuatayo; Kwanza kabisa Rais anajua kabisa tena kwa kina kuwa suala la account ya ESCROW ni mchezo mchafu na hivyo maazimio ya bunge...
  9. Chigwiyemisi

    Msaada wa Internet Settings kwenye Galaxy Note 3

    Wakuu heshima mbele.. Wadau naoma msaada wa Internet settings kwenye simu ya Galaxy Note 3. Nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu lakini ghafla tu imegomea internet.
  10. Chigwiyemisi

    Siri ya CCM kung'ang'ania serikali mbili ni nini?

    Wanajamvi heshima kwenu. Nimetumia muda mefu sana kufanya utafiti ni kwa nini CCM wanang'ang'ania serikali mbili lakini mpaka hivi leo sijapata sababu yoyote ya msingi. Nimekuwa nikiamini kuwa serikali tatu ni suluhisho la kero za muungano hata kabla ya mchakato wa Katiba kuanza.Tume ya...
  11. Chigwiyemisi

    Naomba jina la wimbo huu

    Wadau kuna nyimbo naipenda, ni zilipendwa na inapigwa sana kwenye live band. Wanaiita AFRO. Sina hakika kama ndio jina au la. Naomba kujua imepigwa na nani na mwenye nayo naomba aniwekee nitashukuru sana. baadhi ya mistari ni kama vile "NIMERIDHIKA KUWA NA WEWE MAMAAAA.........UAMUZI NIMEKUACHIA...
  12. Chigwiyemisi

    Sakata la gesi Mtwara: Serikali ya CCM itoe ufafanuzi juu ya haya...

    Wanajamvi heshima mbele..Kwa muda sasa masikio yetu yamekuwa yakisikia mambo mengi sana kuhusiana na sakata la gesi ya Mtwara. Serikali ambayo ndiyo yenye jukumu kubwa la kuteleza mipango yote ya maendeleo imekuwa ikiwashutumu vikali sana wanasiasa kuwa ndio wanaochochea wananchi wa Mtwara...
  13. Chigwiyemisi

    Malecela: Rais asipunguziwe madaraka, Tanzania ni nchi changa!

    Waziri mkuu mstaafu Mh. John Samwel Malechela amesema hakuna haja kwa rais kupunguziwa madaraka kwa sasa kwa sababu nchi yetu bado changa. Ameyasema hayo wakati akitoa maoni yake kwa tume ya marekebisho ya katiba. Kwa jinsi nionavyo maCCM hayataki kabisa madaraka ya rais yapunguzwe. Source: ITV
  14. Chigwiyemisi

    Nape live on Star tv: Anazungumzia uchaguzi wa CCM

    Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye yuko live Star tv anadadavua kwa makini taratibu za uchaguzi ndani ya CCM.
  15. Chigwiyemisi

    Mbunge aliyepokea rushwa - ikoje?

    Wadau naomba anayefahamu kuhusu mbunge aliyepokea rushwa anijuze, kama anahudhuria vikao vya bunge vinavyoendelea? Sheria inasemaje mbunge anapokuwa na kesi inayofanana na yake?
  16. Chigwiyemisi

    Gazeti la Uhuru - Mhariri wake na waandishi walisoma wapi?

    Wana JF heshima mbele. Najua kuwa gazeti la Uhuru ni la CCM. Najua pia kuwa ni jukumu lake kulinda na kutetea maslahi ya chama chake yaani CCM. Lakini kinachotokea kwenye hili gazeti ni zaidi ya propaganda. Ni ujuha wa kiuandishi. Nashindwa kuelewa inakuwaje hili gazeti linaandika upotoshaji wa...
  17. Chigwiyemisi

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Wadau naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua sheria za VOTE OF NO CONFIDENCE! Sheria inahitaji asilimia ngapi ya wabunge ili kuleta hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Kura pia inahitaji asilimia ngapi ya Wabunge ili PM apigwe chini? Kura 70 ni asilimia ngapi ya wabunge? Wana JF...
  18. Chigwiyemisi

    CCM ni sikio la kufa - Halisikii dawa!

    Kwa jinsi mambo yanavyoendelea ndani na nje ya CCM naamini kwa dhati kabisa kwamba chama hiki sasa kinajinoa kuwa chama cha upinzani na kuwaachia CDM hatamu zote. Nasema CCM ni sawa na sikio la kufa ambalo kamwe halisikii dawa kwa sababu chama hiki kina bahati ya kupata mawazo, ushauri, maoni na...
  19. Chigwiyemisi

    Naomba msaada wa Muongozo wa kuanzisha kikundi cha kuinuana kiuchumi/Saccos

    Wadau nawasalimu.Mimi na wenzangu tumeamua kuanzisha kikundi ambacho kitakuwa na malengo ya kujiendeleza na kubadilishana mawazo na utaalamu. Ni kama SACCOS lakini tunategemea kuwa na malengo mtambuka. Naomba yeyote mwenye SAMPLE ya katiba au document yoyote ambayo itatupatia muongozo wa...
  20. Chigwiyemisi

    Wassira ndani ya TBC - aibu tupu

    Wadau leo asubuhi Waziri Wassira alikuwa anahojiwa TBC1 kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya mchakato wa Katiba unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni. Cha kusikitisha na kutia aibu ni kwamba Wassira badala ya kuongea kama Waziri wa Serikali ameongea kama mwanapropaganda wa CCM tena mwenye...
Back
Top Bottom