Search results

  1. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Nimeshaualiwa nimpatie infacol na mafuta ya samaki (scotts), ni sahihi?
  2. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  3. Financial Analyst

    Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

    Ndugu naomba uingie Pm tafadhari. Sio kwa ajili ya msaada huu ila jambo jingine kabisa
  4. Financial Analyst

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
Back
Top Bottom