Search results

  1. A

    Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Habari.Mimi in kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26 ninaitwa Asante Mbagule Njehani kabila langu ni Mpogoro. Natafuta kazi yoyote inayohusiana na taaluma yangu KILIMO NA MIFUGO.nimesoma general agriculture na nimefuzu katika ngazi ya astashahada na stashahada kwa muda wa miaka mitatu...
  2. A

    Natafuta kazi(kilimo na mifugo)

    Habarini za majukumu,,naitwa Edgar mbagule(25) natafuta kazi inayohusiana na kilimo na mifugo,Nina stashahada ya kilimo na mifugo(general agriculture),ninauzoefu wa kutosha wa miaka mitatu ktk kilimo na mifugo hvyo basi nipo tayari kufanya kazi na MTU yoyote,shirika binafsi au hata serikarini...
Back
Top Bottom