Search results

  1. Kayoka

    Msaada: Hili ni tatizo gani?

    Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani. Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu. Siku ya Jumapili nilianza...
  2. Kayoka

    Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
  3. Kayoka

    Msaada: Mti huu ni aina gani?

    Salaam Wanajukwaa hapa JF, Tafadhali naomba kujua aina ya huu Mti, matumizi, faida na hasara zake kwa jamii. Nimeukuta shambani.
  4. Kayoka

    TCRA: Tazameni radio Kwizera - Ngara

    Salaam Wakuu, Sisi wakazi wa huku kanda ya Magharibi na kanda ya Ziwa tunaomba mtufikishie ujumbe MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA kuhusu namna ambavyo Radio tajwa hapo juu kuhusu mambo kadhaa; mfano- 1. Mara kwa mara huwa wanatoa matangazo ya michezo ya kubahatisha/betting (mfano alhamisi hii...
  5. Kayoka

    Nimewachangisha michango ya ndoa/harusi ili nipate mtaji.

    "Habari Wakuu, Kama mjuavyo jinsi maisha yalivyo magumu kwa sasa huku mtaani, lazima akili na maarifa yaongezeke. Nilimaliza chuo tangu 2015 ila mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya kueleweka na kila ndugu mwenye uwezo niliyemwomba msaada hakuwa tayari kunisaidia (niliwaomba mtaji tu wa...
  6. Kayoka

    Msaada: Jinsi ya kupata Passport kwa uharaka

    Habari Wakuu, Niko huku kanda ya Ziwa Magharibi, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuweza kupata kwa uharaka (let's say ndani ya mwezi mmoja) Passport ya kusafiria ya Tanzania. Ni mambo gani ya msingi napaswa kufanya au vitu gani natakiwa kuwa navyo ili kufanikisha jambo hili? Kwa sasa...
  7. Kayoka

    Tujihadhari na makaburi ya kisasa

    Habarini Wakuu huko mliko! Juzi nilihudhuria ibada ya mazishi ya mke wa jamaa yangu huku mtaani kwetu ila pamoja na huzuni zote kuna jambo lilinitatiza na kuniwazisha sana naomba tushauriane hapa. Kama mjuavyo siku hizi kuna hii tabia imeibuka ya watu kumzika marehemu mpendwa wao kwenye...
  8. Kayoka

    Tahadhari: Usinunue Simu/Laptop kwa Mtu.

    Wakuu Habari! Siku zote nimejitahidi kuwa smart na kuepuka kujihusisha ama kufikishwa police kwa kosa lolote. Mwezi uliopita nikiwa matembezi huko Tanga kuna kijana aliniuzia simu akidai kuwa ana shida sana ya hela, ilikuwa Tecno Common X kwa Tsh 200K nikaja Singida na kuanza kuitumia as a...
  9. Kayoka

    Huduma ya ST Scan na Matibabu , Hospital ya Ikonda - Makete

    Habari wana JF. Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi. Madaktari wametushauri mgonjwa wetu tumpeleke Hospital ya Muhimbili, Agha Khan au KCMC ili apatiwe huduma ya CT...
  10. Kayoka

    Huduma ST Scan Hospital ya Ikonda -Makete

    Habari wana JF. Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi. Madaktari wametushauri mgonjwa wetu tumpeleke Hospital ya Muhimbili, Agha Khan au KCMC ili apatiwe huduma ya ST...
  11. Kayoka

    Mabegi ya Swiss Gear

    Habarini sana wakuu! Samahani, nipo hapa Dar naomba msaada wa kuelekezwa duka au kufahamisha wapi au namna naweza kupata hizi Swiss Gear Backpark. Ahsanteni.
  12. Kayoka

    Nichague kufanya kazi wapi?

    Habari Wakuu! Nafanya kazi international NGO moja huku kanda ya ziwa kwa mkataba wa part time miezi sita sita, nalipwa kwa kila siku ninayofanya kazi, nisipokuwepo kazini silipwi hata kama naumwa au nimefiwa. Nikifanya kazi mfululizo kwa mwezi napata malipo yasiyopungua 1. 4M, mpaka sasa...
  13. Kayoka

    Daah Yanga African....!!!

    Hatari kwa kweli
  14. Kayoka

    Yanga F.C ndio nini hiki?

    Mnatutamanisha wengine huku tulipo....!!!!!
  15. Kayoka

    Nina shida na program ya Virtual DJ

    Habarini wakuu! Naomba msaada wenu wa program tajwa hapo juu (VIRTUAL DJ) mniwekee hapa ili nami niweze kuipakua kwani nilikuwa nayo zamani kidogo kwa PC yangu lakini ilijifuta kwa bahati mbaya. Nimejaribu kudownload mtandaoni mara kadhaa ila napata shida kidogo.
  16. Kayoka

    Mwisho wa dhuluma, Mateso na Manyanyaso Ndio Huu!!

    Hata kama wewe ni mbabe kiasi gani ipo siku umma wa wanyonge wataungana na kukataa maovu yote unayowatendea kama yaliyomkuta huyu jamaa (maji yamemfika shingoni hana jeuri tena).
  17. Kayoka

    Wapi naweza kupata game hii!

    Wakuu niliwahi kuwa na game ya DRAFT kwa Laptop yangu ila kwa bahati mbaya nikaifuta lakini site ninoingia nashindwa kuidownload tena kwa pc yangu, je kuna yeyote humu ndani mwenye kuwa nayo humu nami anisidie! Game yenyewe huwa inaonekana kama picha hapo chini ila jina limenitoka kidogo...
  18. Kayoka

    Betting: Biashara hii inaliangamiza Taifa, tujiepushe nayo

    Hapo zamani, alikuwepo mfalme wa nchi moja. Mfalme huyu aliwaita watu wote wenye busara kwenye nchi yake na kuwaambia naamini nyinyi ndio mna busara sana, nataka mkae chini na mtengeneze falsafa ya maisha ambayo kila mtu kwenye ufalme wangu ataishi nayo na itamletea mafanikio. Watu wale wenye...
  19. Kayoka

    Hurt trick ya ukweli, haijawahi kutokea...!!!!

    Anasubiri apewe Mpira na asepe zake!
  20. Kayoka

    Nimetumiwa TZS 700,000/= M-PESA na mtu nisiyemjua

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka wanaJF! Asubuhi ya leo nimechelewa kuamka kidogo nilipowasha tu simu yangu nikakuta sms ya M-PESA inasomeka hivi, nanukuu "BN73ON842 Imethibitishwa tarehe 6/4/15 sa 11:29 AM Toa Tsh700,000 kwa MWANAISHA MAMBO-SINGIDA. Salio lako la M-pesa ni Tsh791,179". Kwa kweli...
Back
Top Bottom