Search results

  1. B

    Jitahidi uwe na kitambulisho cha Taifa, kitambulisho cha mpiga kura na cheti za kuzaliwa. Hivi vitu ni muhimu kuliko unavyofikiria

    Shida ni Mamlaka husika hasa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa ofisi za RITA huku wilayani.Kuna changamoto kubwa sana unaenda kuomba cheti cha kuzaliwa na ukiwa umeambatanisha na kila kitu wanachohitaji halafu unaambiwa usubiri mpaka mwezi mmoja. Kwa speed hii sidhani kama kweli kila mtanzania...
  2. B

    Naombeni msaada

    Hiyo siyo rahisi kihivyo.Unapatikana wapi?
  3. B

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Hii kitu hata mimi nimekutana nayo kwenye mashirika mawili katika kutafuta kwangu ajira.
  4. B

    Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    We ubongo wako haufanyi kazi.
  5. B

    Lowassa akutana na Maalim Seif kwa faragha Dsm

    Sema wewe hutamuelewa kwa sababu ya uccm na ufinyu wako wa akili ya kutoelewa.
  6. B

    Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Mwaka huu mtasema yote hata ambayo hatukuyajua. Hivi nyinyi maccm inawauma nini Lowassa kwenda Chadema?
  7. B

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Anaharibu kwa namna gani? Chadema ni chama cha wananchi hatubagui.
  8. B

    Naomba msaada wa kisheria kati ya mwajiri anapoamua kuvunja mkataba wa kudumu

    Kuna mzungu aliajiri watanzania wengi kwa mikataba ya kudumu kwa sheria za Tanzania anataka kuivunja na kulipa stahiki za wafanyakazi wote. Tunaomba msaada wenu kisheria Je tunastahili kupewa Mshahara wa miezi mingapi? Hawa Jamaa hawachelewi kusema mwezi mmoja. Nawasilisha.
  9. B

    List ya recruitment agencies Tanzania

    P/SE NAMI NITUMIE HIYO SHEET MA E MAIL amanij73@gmail.com
  10. B

    Mitihani ya nbaa

    Jamani naomba msaada wa full information na gharama za kujisajili kufanya mitihani ya bodi ya wahasibu Tanzania
  11. B

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Je una uhakika jinsia yake?Asije akawa na jinsia zote mbili.Ni mtazamo wangu tu.
  12. B

    Kuku na yai kipi kilitangulia.asanteni

    Kufuatana na biblia kwenye uumbaji mungu hakuumba mayai bali ndege ambao na kuku alikuwepo.hivyo kuku ndiye aliye tangulia
  13. B

    Hodiiii wanajamii!!!!

    Wanajamii naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom