Search results

  1. gm man

    Nataka kuagiza simu ali express

    Mkuu, Unatumia njia gani kuweza kupata mzigo bila sanduku?? Naomba kufaham mkuu
  2. gm man

    Star TV: John Heche vs Chegeni, kuna mjadala mkali sana kuhusu bandari ya Bagamoyo

    Ni ngumu sana kuitetea serikali ya awamu ya 5...ni ngumu sana.. dr chegeni anatamani kuikana awamu ya 5 lkn ndo hivo
  3. gm man

    Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Mkuu, Nikupongeze sana....hongera sana
  4. gm man

    Maxence Melo apewe PhD ya heshima

    Mkuu, Hatma ya JLW inategemea sheria za nchi..kuna pahala maxence alielezea.....
  5. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Mkuu, Pole ya nini???
  6. gm man

    Rais Samia hili la makato mapya ni kaa la moto, linaenda kukupotezea umaarufu

    Uzuri mataga haya makato wao hawatakatwa
  7. gm man

    Kwa Division III ya mwanzo ya mwaka 2011, form six aombe chuo gani?

    Ako na D mbili????...kama anazo basi aaply course anayopenda
  8. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Vijana wanaoenda pesa za ku download kwa kweli...hawapendi kufanya kazi
  9. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Wakuu, Vilio vimetapakaa..vijana wanasema wamewekewa tarehe za kutoa hela 9,19,29 lkn kila waki request hola yani
  10. gm man

    Figisu zaanza TFF , Oscar Oscar adai kupewa taarifa kwamba kakatwa

    Mkuu, Ngoja waje kukupa muongozo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Mkuu, Sijawahi kujaribu biashara yoyote ya mtandaoni inayohisisha ku invest au trade
  12. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Mkuu, Kumbe kelele zipo kila kona??..yumkini kuna jambo japo liko sirini kwa sasa.. Wajuvi waje kutusaidia ili tujue whats going on
  13. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Mkuu, Kuna nini tena??????
  14. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Tayari nini mkuu?? Kama una taarifa yoyote naomba utuambie
  15. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Wakuu, Ambaye amejiunga na pama fund naomba atupe mrejesho je kina lolote limetokea????
  16. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Mkuu, Nini kimetokea pama fund??
  17. gm man

    Pamafund kuna nini kimetokea?

    Wakuu, Samahani kwa yeyote mwenye taarifa juu ya pamafund naomba atupatie. Kwa maana yale matangazo tuliyokuwa tunasumbuliwa nayo WhatsAap hatuyaoni tena. Je, nini kimetokea?
Back
Top Bottom