Search results

  1. TESRA

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    gari kabla ya kufika ilishajaa mda
  2. TESRA

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    1. NATO. ni North Atlantic Treaty Organization kwa kirefu chake, NATO ni umoja wa kijeshi kwa ajili ya kujiami mataifa ya magharibi dhidi ya adui yao kama Russia, etc. NATO iliundwa 4.4.1949 wakati wa vita baridi na mataifa kama Marekani, Canada, Britain, France, West Germany, Luxembourg. hayo...
  3. TESRA

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    hahahahahahahahahahahaha. Ngoja nicheke kwa kichaga. Tanzania hipi. tubusibili week 2 tu
  4. TESRA

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    sipingi mawazo yako. mbona kama lawama zinaenda kwa mond . mbona wasanii wakubwa tz wapo wengi tu. si lazima afanye mond peke yake,
  5. TESRA

    Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    kumbe tupo wengi tu. king'amuzi cha turkey
  6. TESRA

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    wataalamu wanasema ile picha kma ya mtu unayoona pale ni vimilima vya michanga pamoja na crater zilizopo kwenye mwezi, ingia youtube afu angalia mwezi wakiwa wame uzoom, utakuja kugundua hamna picha wala sura ya mtu yeyote.
  7. TESRA

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    simaliza kusoma nimeishia hapo kwenye million 300 dollar. mkuu nenda tena kwenye source zako ucheki
  8. TESRA

    Usiku huu umekuwa mgumu sana

    punguza wenge kijana. mpe hi doctor senguro msellemu, Dr Naives Kinunda, Dr Ayo, Dr Mhajida, Dr Vakolavene hao wote ni History department Duce. Mungu abariki kazi za mikono yao kwa kunifanya niwe mwl wa history.
  9. TESRA

    Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

    Simba haiwezi fika sehemu yeyote na kikosi chenye wachezaji wana maika zaidi ya 40. Kibu anakimbia kimbia tu kama kuku asiye na kichwa. timu nzima ifumuliwe
  10. TESRA

    Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Ngoja waje wayahudi wa Namtumbo, Nansio pamoja na Kongwa
  11. TESRA

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Wimbo mmoja, Nyimbo zaidi ya mmoja. Mimi wowote ule ile uwe na weee zombie haujui.
  12. TESRA

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    welcome tupo Tel Aviv hapa
  13. TESRA

    DOKEZO Wastaafu wa TAZARA tunasotea stahiki zetu huu Mwaka wa 20, Rais Samia tusaidie

    kwanza nipende kutoa shukran zangu kwa rais wetu Samia S. Hassan. ulipo andika CCM nimeishia kusoma. na bado
  14. TESRA

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    kuna mfumo unatumika kupata majina na namba zao kwa wanafunzi walio maliza form four. ukinipa jina la shule uliyo maliza pamoja na mwaka nitakupatia majina ya uliohitimu nao pamoja nawewe ukiwemo. mbona ni kitu cha kawaida.
  15. TESRA

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

    tatzo la nyerere ni kukumbatia ujamaa na kutufanya tuishi vijijin kwa lazima
  16. TESRA

    Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

    natamani sana iran aingize ata jiwe israel. Huku tz kelele zimezidi sana maana kila mtu ana team yake hapa
Back
Top Bottom