Salaam,
Naomba kujua iwapo mpira wa kurushwa ukirushwa na kuingia moja kwa moja wavuni kwa timu pinzani bila ya kuguswa na mchezaji yeyote, Je hilo litakuwa ni bao halali?
Na je, ni idadi gani ya wachezaji ambao wakipewa kadi nyekundu inam'bidi refa aahirishe pambano.
Ni hayo tu kwa sasa.
Nimemsikia prof Palamagamba Kabudi, akitamka "Tanzania tuna tatizo la kulalamika bila ya kuchukua hatua"
SOURCE: taarifa ya habari ITV
my take:
Iko haja ya sisi waTanzania kuchukua hatua juu ya mambo yote ambayo hayaendi sawa hapa nchini (yako mengi sana), sio kulalamika lalamika tu!
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
Naangalia kituo cha ITV saivi, eti habari ya kwanza ni ya kina babu seya kwenda ikulu. Hiyo habari ina maana gani kwa watanzania zaidi ya kuwaumiza wale watoto waliotendewa vitendo vile na ndugu na jamaa na marafiki zao?
Umejitahidi kwa kiasi flani kumjibu huyo ndugu ila umepotosha uliposema "... kwa wakati flani Mungu aliruhusu ndoa za wake wengi". Ukweli ni kuwa MUNGU HAJAWAHI KURUHUSU NDOA ZA WAKE WENGI!!!! NA KAMWE HATOKAA ARUHUSU UZINZI HUO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.