Search results

  1. haroon88

    Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa Dizzim TV na Dizzim TV

    Mmililiki wa dizzim ni Babu tale Sent using Jamii Forums mobile app
  2. haroon88

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hii mida ya wachawi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. haroon88

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ulale Sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. haroon88

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii Maasai ya man u ina kichaa!?[emoji4][emoji4][emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. haroon88

    Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    Wanangojea iexpire ili waanze kutukimbizakimbiza Kama watoto wadogo kutafuta vitambulisho vingine huku viongozi wakuu wakitafuta kiki za kujifanya kuongeza siku! Mh yaani hii nchi hivi kweli kuna wasomi humu!? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. haroon88

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Aah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. haroon88

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. haroon88

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Waambie hao wezi waagize kinywaji popote walipo nakuja lipia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. haroon88

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Aah wasitutishe nna Airtel name tigo hapa zote zinapiga kazi na Sina mpango wa kusajili ng'o Sent using Jamii Forums mobile app
  10. haroon88

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Kazi kutushindisha kwenye mafoleni ya nida na mawakala shenzi kabisa nyie kumbe hamna uwezo wa kuzima na sisajili ng'o[emoji38][emoji38][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. haroon88

    Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

    Sent using Jamii Forums mobile app
  12. haroon88

    Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

    Salaam! Sidhani Kama kuna mtanzania ambaye Hana Furaha kwa tukio la mchezaji wetu kujiunga na Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya uingereza! Kongole kwa Samata na watanzania wote kwani hii ni fursa nzuri kwa wachezaji wetu.Kwa kawaida EPL huwa na matumizi ya nguvu na kasi kupita maelezo rejea...
  13. haroon88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimepata mtaji WA kuparangana na mhindi wikiend hiii Sent using Jamii Forums mobile app
  14. haroon88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boom sportpesa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. haroon88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bordeaux ****** Sent using Jamii Forums mobile app
  16. haroon88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yeeeeeeea Sent using Jamii Forums mobile app
  17. haroon88

    Tujikumbushe asili ya Mungu

    Nahisi Kama nimekuelewa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom