Search results

  1. Mima white cute

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    ha ha haaaa omba mungu akupe mke mwema yangu ni hayo tu siku njema mkuu
  2. Mima white cute

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    omba upate mke mwema .......je ukipata ambae hana hata uwezo wa kupata huo ujauzito kabisa ........ mchagua jembe si mkulima
  3. Mima white cute

    Mnaotembea na mabinti chini ya umri wa miaka 25 huwa mnafaidi nini?

    Sawa mkuu sitamwambia MTU VP lakini miaka.thelathini unaiweza jela
  4. Mima white cute

    Nauza mashine ya selcom

    Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu
  5. Mima white cute

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Nitafunga mapema tuwe wote Tufurahie uumbaj wa mungu
  6. Mima white cute

    Kananyonya kama baba yake

    Ushoga unaisha siku hiyo hiyo
  7. Mima white cute

    Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

    Asilimia kubwa mkuu ile chumvi chumvi si MChezo...sio watu wote wamrbabuka midomo kWa ajili ya konyagi
  8. Mima white cute

    Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

    Mapaja kusuguana Uchafu Joto Kwenda haja ndogo bila kutumia Maji chumvi chumvi za kwenye mkojo huchangia
  9. Mima white cute

    Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

    A Account yangu ilihakiwa my....sio mm
  10. Mima white cute

    Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

    Mmmmh haya sasa matusi mkuu Fafanua vizuri sentensi yako
  11. Mima white cute

    Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

    Acha kabisa mziki wa mjeshi...wanapigaa wale balaa nilishaonaga kuna Dada aliolewaga na mjeshi weeee alikiona kiama akianza kumpiga anampiga mpaka ni mibuti yake ile mdada mpaka analazwa...mm mwanajeshi hapana kwa kweli
  12. Mima white cute

    Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

    Sithubuti kudate na mjeshi nawaogopa hao dk mbili mbele
  13. Mima white cute

    DAR: Moto mkubwa wazuka soko la Mbagala rangi tatu

    Moto unataka na upande wa pili kuna godown ya magari ya petroli hivyo hatima sijui itakuwaje.....
Back
Top Bottom