Search results

  1. M

    Nauza mke wangu

    Pumbaaaaa......v...,.u kabisa
  2. M

    Mh. Kikwete, 2015 tunahitaji rais mchapa kazi

    Acha upumbavu,kama huna chakupost kaa kimya,kama ahadi mbona chama chenu cha magamba kimetoa ahadi kibao,je kimetekeleza?ufinyu wa mawazo unakuandama sana....jikomboe...inaonekana vikanga na vikofia vya yeboyebo vinakutesa sana,funguka aisee
  3. M

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Hatutaki,na wakikubali tutawapiga mawe,,,we subiri....
  4. M

    JK; Nimekubali Kuwa Ben Mkapa Ni Simba Ingawa Hangurumi!

    Mi sioni sababu ya kumuona mkapa lulu wakati ana kashifa kibao,mara meremeta,mara kiwila,mara EPA,wanini huyo?hupaswi kumwamini mwongo hata kama ameongea ukweli,mwizi ni mwizi tu hata kama ameiba buku,hatupaswi hum judge in positive way unles arudishe alichotuibia na akaungame kwa imani yake...mp'ya
  5. M

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Jaman tafadhal 2peni matokeo abt chadema,haki ya nani mi leo ntalia mpaka nickie pipoooz power.....
  6. M

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Ukitaka kujua ni vp m2 flan anakufikiria bac jitahidi umuuzi,kama anakupenda atakuonya na kukuomba usimfanyie uliomfanyia na kama hakupendi,dah?utaona moto wake jinsi utakavyochambuliwa,so jitahidi ujue ni vp rafiki yako wa CCM anakuchukulia hasa ktk uchaguzi wa huko igunga,fanyeni kampen za...
  7. M

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Hivi y al da tym pipo ar talkin'abt udini?jaman jengeni hoja za msingi huko igunga na c ku2gawa kwa iman zenu haba ka chembe haradani,2nataka kiongoz safi,mwadirifu na muajibikaji kwa uma wa watanzania wote na kwaajili ya interest za wa2 flan,MUNGU IBARIKI TANZANIA
  8. M

    Shujaa: Maj Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale" Afariki

    Dah! Kweli aise, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi, Amen.
  9. M

    Naja kupanua mawazo, kushibisha ubongo....."Nipokeeni"

    Wadau mliofaidi huku jf kwa kipindi kirefu tupokeane jamani naona kuna mambo mengi ya msingi niliyakosa ila nadhani cjachelewa..
Back
Top Bottom