Search results

  1. M

    M4c - vita bado inaendelea - lema aichakaza chato ni jimbo la magufuli

    oparesheni kusini itaanza tarehe 28 kwa siku kumi na tano mfululizo halafu zanzibar
  2. M

    Kamati tendaji ya chadema jimbo la segerea kukutana kesho

    Kesho kamati tendaji ya jimbo itakutana ikiwa na malengo na madhumuni ya kuendeleza mapambano na kuhakikisha chama kinaendelea kukua na kupiga mikutano ya ukombozi wa fikra kwa wananchi kwa kasi kubwa sana
  3. M

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    hatuna haja ya kuwa na haraka sana katika hili ila bado nadhani chadema bado kama chama wanayosababu ya kusimamia maslahi ya taifa kama chama peke yao huku wakionesha uwezo na dhamira yao itakayofuatwa ili taifa lisonge mbele sasa nilisema naweka kumbukumbu kwa kuhofu tu ukaribu ulee ila maana...
  4. M

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    Jamani wadau mimi ninawasiwasi sana na ukaribu na utendaji kazi wa Zito Kabwe yaana urafiki aliokuwa nao na wanamagamba unatia wasiwasi suala moja lakujiuliza kwanini asishirikiane na watu kamaMnyika,lema,msigwa,kasulumbayi,mbilinyi na makamanda wengine huu ukaribu wake na wakina...
  5. M

    Asilimia themanini ya watahiniwa kidato cha nne walipata daraja sifuri na la nne jk anapongezwa

    Wakati mkuu wa kaya ameondoka huku hali ya nchi ikiwa tete baada ya madkari kugoma akiwa anahudhuria kikao huko ulaya waziri mkuu wa uingereza amempongeza kuwa serikali ya Tanzania :embarassed2:imejitahidi kwenye maswala ya elimu mh imenishangaza kidogo hapa mawili kama waingereza hakuna...
  6. M

    Si sahihi kuendelea kuhudhuria bunge linalojadili mambo yasiyo na tija kwa nchi yetu

    Nimetafakari kwa kina matukio yanayo tokea kwenye bunge letu linaloendelea najiuiza maswali mengi sana kutokana na matendo na mienendo ya bunge hili la jamhuri ya muungano wa tanzania. maswali yafuatayo lazima wabunge wajiulize 1.ccm na wabunge wake wanawawakilisha wakinanani wasiohitaji...
  7. M

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Jana nilimshangaa sana samweli sita kwa kweli kauli alizotoa bungeni juu ya swala la kafulila ukweli alapaswa afikiri kabla ya kuongea maneno yale. kwanza ameingia kwenye orodha ya viongozi wanaotetea posho jamani sita toka aanze kula pesa za walipa kodi toka awamu ya kwaza mpaka leo bado...
  8. M

    Sherehe za TANU: Rais Kikwete akutana na mabalozi wa nyumba kumi na viongozi wa mashina na kata

    mzee wa watu Milinga hata viatu hamja kumbuka kumnunulia
  9. M

    Mchungaji Msigwa Unatufurahisha sana Wananchi wa Iringa Municipal

    taifa linahitaji watu makini kama mchungaji msigwa kwasasa anauwezo nadhani anahofu ya MUNGU NDIO MAANA ANA SIMAMIA HAKI KWA MOYO WAKE
  10. M

    Mgao wa umeme: WaTanzania tuamke, tuukatae

    Muda wa kupata umeme na muda wakuwa gizani ukweli ni kwamba muda wa kuwa gizani ni mkubwa kuliko wa kuwa na umeme kwa kweli hali ni ngumu sana tunavumilia ila ukweli safari hii tunashindwa hii ndio kusherehekea mika hamsini ya uhuru fedha za maandalizi bora ziende kwenye vitu vingine...
  11. M

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    hapa ndio tunapima mwenye hakili timamu na mwenye mtindio wa ubongo
  12. M

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    hivi wewe na walevi wenzio hua mnakutana wapi?
  13. M

    Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

    Nape mawazo yako nayashangaa sana hoja yako ya taifa kwanza hivi wewe ndio unajua taifa kwanza leo? umesahau ulivyochakachuliwa ubungo na kwenye uvccm kama unakumbuka na namna haki ilivyokunjwa maana ndio kawaida yenu ukapozwa kwa vyeo ukatulia wala hukukemea uovu ule sasa SUALA LA MSINGI SIKU...
  14. M

    Lema apinga kugawana vyeo, hamtambui naibu meya wala meya wa Arusha (tamko)

    Chama hakiwezi kutoa taarifa kwa kukurupuka kwanza uchunguzi juu ya maamuzi ya Arusha unafanyika kwa umakini giza lote litaondolewa
  15. M

    Nguvu ya umma yaigeuka CHADEMA

    Taarifa hizi ni za uwongo na bahati mbaya sana mbinu mbovu zimefanywa kwenye maufaka wa meya iila zimejulikana kwa urahisi zinashuhulikiwa kwa ukaribu sana ameanza Lema leo kutoa tamko
  16. M

    Lema apinga kugawana vyeo, hamtambui naibu meya wala meya wa Arusha (tamko)

    Watu wamepigania nchi hii kwa muda mrefu sana makamanda wamesimama imara bila kuyumba jana niliongea sana kuhusu makubaliano batili kamanda Lema umesimama imara kama kuna madiwani wamechoka harakati watupishe tena mapema sana hoja ni haki si nani awe meya
  17. M

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Wanadai eti tatizo na kupungua kwa kani cha maji kwenye mabwawa ya uzalishaji ila tatizo ni kubwa kwani tanesco wanaonesha kukata tamaa hata zile lugha zao zenye matumaini leo hazikuepo kwani walipo ulizwa na Raheli mhando walijibu ......msema kweli mpenzi wa MUNGU mgao utaenda mpaka mwishoni...
  18. M

    Gazeti la MwanaHalisi mmetuchosha

    caroline danzi umejibu vyema pamoja na kwamba wengi hawapendi kununua magazeti ila hupenda kusoma yale ambayo yameshanunuliwa pia uchumi na jambo lingine linalowakaba wananchi. sasa umetaja saccos ya nini tena hapo nipe kwenye 0653050735
  19. M

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Leo asubuhi kwenye kipindi cha tuongee tbc wahandisi kutoka tanesco wameutangazia umma kuwa mgao utaendelea mpaka mwisho wa mwaka na ni mgao mkubwa kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa ishirini nanne
  20. M

    Dr Slaa: Lowassa ni sehemu ya matatizo yanayoikabili nchi kwa sasa

    Kwakweli mtifuano wa madaraka ndani ya ccm ni hatari kubwa kwa taifa kwani hivi ni vita vikubwa kati ya kambi tatu kwasasa kati ya mweenyekiti na kanbi yake mpya na mapacha watatu wa ufisadi na mapacha wengine watatu wa CCJ. CCM ISIPOONDOLEWA MAPEMA ITATUPELEKA MAHALI PAGUMU SANA
Back
Top Bottom