1)Technology za mlengwa wa viwanda ni jukumu la serikali na ndicho inachofanya serikalini sasahivi.
2)Technology za mlengwa wa Silicon Valley ni jukumu na utendaji kazi wa mtu binafsi...serikalini tunahitaji ku-fix maeneo machache tu.
Kila nchi Duniani watu wana practice technology ya mlengwa...
1)Zipo kibaoooo
2)Ni ubunifu Useless kwa developer, developer mwenye maono hawezi tengeneza takataka kama hiyo, hakuna watu wanaishi Primitive kama Dealer wa kilimo then uweke solution huko utegemee Bingo...mcheki C.T.U wazo lake la DUNDA hizo ndio Current Innovation ni idea inayolenga mlengwa...
Sometimes hatuwezi ongea lugha moja ikaeleweka kwasababu ya familia tunazotoka ni tofauti.
Kama wote tungekuwa sawa kifamilia lugha inheeleweka, kuna mshkaji wangu anapewa pesa mpaka ya kwenda interview huyu utamwambiaje lugha hii akaelewa ila mtu kama mimi interview hata iwe wapi nijue pesa...
Nakuunga mkono kwenye kumsema mtoa mada ila hapo kwenye kuhusu kutajirika umeandika ujinga, hakuna asiyependa/kutaka kutajirika na kama wewe utaki kutajirika ni huna akiri.
Mtoa mada njoo weekend hapa Silicon Dar kuna mgahawa unaitwa Startup Restaurant nakuwa na wenzangu tukiDiscusa mawazo huku tukipiga Coding kukamilisha Apps zetu.
Tunakula ma Juice ya takeaway na ma pizza ya kutosha life la Tz lishakuwa kama marekani tu mbona unataka kujitesa.
Kariakoo= New...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.