Search results

  1. D

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesoma kwa umakini "Taarifa" ya kukamatwa na kupelekwa Kituoni Katibu Mkuu wa Chadema na Viongozi wengine wa ngazi ya Mkoa na Kanda, kule Mbamba Bay, wakiwemo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz. Mara kadhaa viongozi wa vyama mbali mbali pia wamekamatwa...
  2. D

    Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    IlongaIlunga, Jaribu kutofautisha Issues. Sizungumzii popote masuala ya kisheria wala Taratibu za ki uchaguzi. Ninamshughulikia Gwajima kwa Kauli zake ambazo siyo tu zimeleta madhara makubwa kwa jamii pana na watanzania wa Tabaka mbalimbali. Ustaarabu wa kawaida mtu akikosea jambo ili amani...
  3. D

    Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Buyumba, Ungelijua tone la Utawala usingelisema unayoyasema. Ushauri wa Bure, pitia Administrative Law japo kidogo kwenye google. Nilieleza " nililetewa hoja na Gwajima". Dr Slaa asingeliweza kuamua hatua ya kuchukua bila kumfikishia Mwenyekiti. Soma basi Katiba Chadema kama uko mpenzi sana wa...
  4. D

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Kamanda, Naona hujalala saa hizi! Msimamo wangu ulikuwa wazi. Mshenga alikuja kwangu kunijulisha yaliyotokea Dodoma na kunitaka tuone namna ya kumpokea. Nikampeleka kwa Mwenyekiti wa Chama. Hiyo ndiyo "Mimi kuanzisha mchakato". Nimeeleza mara kadhaa lakini naona watu wameshindwa kupambanua...
  5. D

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Yehodaya, Asante kwa kutukumbusha haya. Ndiyo maana siku chache zilizopita nilisema: i) Ni muhimu kwa " Mshenga Gwajima" kutubu na kuwaomba Radhi Watanzania kuliko kuendelea kuwapotosha. ii) Mungu hamilikiwi na binadamu awaye yote. Watanzania tunawajibu wa kumshukuru sana Mungu kwa kutukomboa...
  6. D

    Mch. Gwajima asifu utendaji wa Magufuli, Dr Slaa ampongeza Gwajima

    WanaJF, Naamini hamjambo. Awali niweke wazi kabisa sina tatizo na "Pongezi" kwa Mhe. Raisi JPM kwa kaxi nzuri sana aliyofanya na anayoendelea kuifanya katika kuirudisha Taifa letu kwenye Reli. Tuliposema Bandari yetu ni Lulu, wengi hawakuelewa. Tuliposema Taifa letu halipaswi kuwa "omba omba"...
  7. D

    Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

    Makamanda, alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni...
  8. D

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
  9. D

    Dr. Slaa kuwasilisha leo mpango mkakati wa ushindi mbele ya Sekretarieti

    Yericko, Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu...
  10. D

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Yericko, Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu...
  11. D

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Ritz, 1. Kwanza ni vema ujue upotoshwaji, uwongo na fitna hizi zinagusa siyo tu Chadema, bali zinahusisha Taasisi ya KAS. Hivyo uwongo wowote una athari ya kuwastusha na kuwachafua pia marafiki zetu wa KAS. 2. Kwa bahati mbaya, hata katika miradi yetu inayopata support kutoka KAS, fedha...
  12. D

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Lizaboni, Ninapenda kukupa Challenge. Na iwapo hutaweza kutoa ushahidi wa jinsi Mbowe, Slaa na Komu wanavyogawana hizo fedha toka KAS kila mwezi, ni dhahiri tukikuita mwongo, mzushi, mchonganishi. Ninataka Lizaboni atoe hapa ushahidi wa KAS kutoa fedha chadema kwa malengo aliyotaja, japo...
  13. D

    Padri Wootherspon: Kukutana na Dr. Slaa ni sawa nakukutana Mandela au Nyerere

    WanaJF, Awali ya yote Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana Father Wootherspon, kwa kutengeneza nchi yetu, na hasa kutembelea baadhi ya Familia za Vijana wetu waliofungwa kwenye magereza mbalimbali za HongKong na China. Mwenyezi Mungu amrudishie Maradufu kwa Upendo, huruma na ukarimu...
  14. D

    Wagombea wa CHADEMA Wilaya ya Kondoa wamekosa udhamini

    Mitula na Wana JF, Asante kwa Taarifa. Napenda ku wahakikishie kuwa maandalizi ya Wagombea yanaendelea vizuri. Ni kweli aliyekuwa Katibu wa Tawi la Sauna alihamia CCM, lakini Viongozi wengine wote wa Tawi wako. Ninavyoandika sasa hivi Fomu zinatawanywa na Utaratibu unaendelea katika hatua mbali...
  15. D

    Watu wa aina ya akina Bulembo ni janga kwa CCM

    Adolay, Nnakuunga mkono mia kwa mia. Mataifa huangamizwa na mtu moja au kundi la watu wachache kama hao. Natoa mfano wa Makonda, ambaye 2010 alikuwa Messanger wa Samuel Sitta wakati alipokuwa akijadiliana na Chadema kuwa Mgombea Urais wa Chadema, baada ya CCJ kushindikana. Namshangaa...
  16. D

    UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

    Hamy-D Haya ni mahangaiko yasiyo na Tija. Kama unahitaji mwaliko njoo, tukupe Kadi, hata ya mlo wa jioni hii usipoteze muda wako bure kwenye mitandao. WanaJF, msishangae hili ndilo jibu analostahili Hamy-D na sababu wengi mnalifahamu
  17. D

    Ufisadi CHADEMA: Mamilioni yachotwa kulipia "website" hewa!

    jme, Source ni Hamy-D! You are wasting your time! Ili awe credible for once aweke japo voucher mmoja tu, au no ya Cheque. Inaelekea hajawahi kufanya utawala hata kidogo! Ni ofisi gani fedha zinatolewa Kama Karanga? Watahangaika mpaka watachoka. UOTE=jme;9163650]Tatizo lako huwa unakuja...
  18. D

    Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

    Simiyu na Kundi lako, Naona mnalirudia sana swala la hili Kontainer. Mbona hamtaki kujibu maswali yangu. Niliuliza kama mnafikiri ninuwongo:- 1. Ipo wapi kesi waliyowafungulia viongozi wa Chadema Tunduma/ Mbozi waliotuhumiwa kutoa Taarifa ya uwongo kuhusiana na Container Hilo? Mbona kesi hiyo...
  19. D

    Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

    Lizaboni, Wakati Dr Slaa anaanzisha hoja za Ufisadi 1. Masuala ya ufisadi yalikuwa hayajadiliwi nchini. Watu walikuwa na uwoga. Leo kila asubuhi ukisoma gazeti, hutokosa taarifa ya mabilioni yaliyoibiwa hapa au pale. Humhitaji tena Dr Slaa kuibua, hata wewe unaweza kuibua. 2. Hoja 2007 na hasa...
  20. D

    Utajiri wavunwa CHADEMA: Tsh 1mil kwa kikao?!

    Hamy- D, Debe tupu Julia sana. Huna tofauti na debe tupu bila kuweka hadharani nyaraka husika. Weka hata mmoja tu, hususan mjumbe mmoja tu aliyelipwa 1M kwa kikao kimoja, na ni kikao gani hicho, yaani aina ya kikao cha tarehe ngapi. Watanzania hii ni mbinu tu ya kuhamisha mjadala. Kwa bahati...
Back
Top Bottom