Search results

  1. Nonji

    Sample za milango mizuri ya mbele

    Habari wajenzi? Naomba kuona sample za Milango ya chuma ya mbele.
  2. Nonji

    Utaondokaje ukiwa na deni?

    Habari wanaforum! Hivi ikiwa umekopeshwa na mwajiri na hujamaliza deni huku umepata kazi sehemu nyingine ambayo umeona inakulipa zaidi utaondokaje huku inadaiwa na mwajiri huyu wa awali? Msaada tafadhali kama Kuna mtu amewahi kukutana na jambo hili kwenye ajira.
  3. Nonji

    Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Wakuu habari!? Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature. Sehemu hizi:- 1. Attach page 2 of your Application form-After being signed and athourised by applicant...
  4. Nonji

    COMBINATION YA HGE

    Habari wakuu? Niende kwenye mada, Hivi form six aliyesoma HGE chuo kikuu atasoma coz gani? Natanguliza shukurani zangu kwenu maana nategemea kupata majibu mazuri.
  5. Nonji

    Msaada kwa mwenye Div. IV ya point 26

    Wakuu bila shaka wote wazima pande hizi! Niende kwenye mada, Hivi mtu aliyepata division four ya point 26 anaweza kusomea nini maana hajachaguliwa popote?? Msaada tafadhali!
  6. Nonji

    NAMNA YA KUHAKIKI VYETI RITA

    Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
  7. Nonji

    Accounting package ipi ni nzuri zaidi?

    Habari wakuu wa forum hii, Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
Back
Top Bottom