Search results

  1. A

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe -Apuuza maonyo ya wataalamu -Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za serikali ambazo hadi sasa...
  2. A

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Kama Rais kapewa majina kasema anawapa muda wajirekebishe badala ya kuayakabishi polisi ili uchunguzi ufanyike na watu wakamatwe na ghafla leo mwanasheria anakuja na hoja hii Bungeni that means Rais ana jambo lake and he is only looking for a political cover up . Sasa ndiyo muda wa kuwana...
  3. A

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Watanzania maisha yao hawajui kwamba yana amliwa na Chama siasa kinacho kuwa madarakani bali wanaleta mchezo kwa kuweka ushabiki wa Simba na Yanga matokeo yake watu wanaleta mikataba kama ya Richmond na hakuna wa kusema magazeti kimya na wasomi mitini na watu tunalia na Upinzani sasa kesho...
  4. A

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Kwa mambo yanayo fanyika Dodoma sitashangaa mwishowe wauza madawa na vigogo kesi zao zikawa zinasikilizwa chumbani itakuwa ni kinyume adhima ya Rais ya kutaka kupambana na uovu .
  5. A

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    ndiyo maana Rostam kaamua kuvimaliza si mambo ya biashara hapana na haya mambo JK na Rostam waliya anza mapema sana . Iko kazi sana kweney kampeni sijui itakuwaje .Halafu wanalalama kwamba wanatukanwa na watu wa Kenya juu ya kulamnba viatu .Lakini Jk na Rostam na kundi lako mjue kwamba haya ya...
  6. A

    East African Federation (EAF) public Views

    UDP ni branch ya CCM na ukitaka kuona kwamba Chadema yaogpwa na CCM utaona kweney chaguzi hizi .CCM hawako tayari ku side na Chadema na ndiyo Chama pekee ambacho bara ni tishio. Mimi nilikuwa kimya kwa muda sasa mwisho nilijua Masha atapita hata kam asiporudi CCM alipo panatosha maana ni...
  7. A

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    TzPride naona anaingia na gia zile zile ambazo hapa hazitaisihia mbali . Ninapenda kuwa hakikishieni kwamba majereta hayo yameazimwa na si kununulia .Kwa hiyo we have spent so much kwa kitu cha muda maana serikali haina shida na ku solve shida ya umeme Tanzania kwa kuwa madukani yao yatakosa...
Back
Top Bottom