Search results

  1. D

    Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

    wacha kura zilindwe hofu yenu ni nini?
  2. D

    Mitandao ya simu imefanya marekebisho haya kuhusu vifurushi

    Mbona mi sijasomea IT ila nawazidi ujanja mait wengi.
  3. D

    CCM inapendwa na inaendelea kupendwa na kuaminiwa, CCM ni faraja kwa Watanzania. Chagua CCM

    Acheni kuchekesha watu CCM labda inapedwa mtaani kwenu.
  4. D

    Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Jifunzeni kuandika vizuri mada ili msipotoshe watu.
  5. D

    ITV na Azam Tv kurusha LIVE uzinduzi wa ACT-Wazalendo

    Kinacho nishangaza ni kwamba wapambe wa ACT ndio walewale wa CCM sasa sijui huenda ACT ikawa haina watu kabisa.
  6. D

    Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Bila kujari kama Gwajima alikosea au hakukosea Pinda ndiye aliyemdhalilisha Pengo kwa kitendo cha kumshawishi mfipa mwenzake atoe lile tamko la kupinga maaskofu wenzake.
  7. D

    Msaada kulipia azam tv

    Wa ndugu naombeni msaada, nimelipia Azamtv kwa Mpesa Tsh.12,500 pesa imekatea lakini narudishiwa message inayosema invalid smartcard number sijui nifanyeje.
  8. D

    Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

    Tumeona matukio mengi police wakipiga raia kinyume na sheria sasa we sijui wamekutuma uwatetee.
  9. D

    Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

    kwani fereshi ni dini gani mkuu kama ni mkristo hawezi kupata.
  10. D

    Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Huyu mama amekuwa akigawa vyeo hasa ukurugenzi wa halmashauri kwa marafiki zake.
  11. D

    Nape awananga CHADEMA

    Nape hajitambui.
  12. D

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    mabwepande lazima upoteze kucha na meno.
  13. D

    Yuko wapi Fred Mpendazoe?

    Yupo kaajiriwa na shirika la kimataifa la SNV.
  14. D

    Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Nimekuwa nikifuatilia bunge la bajeti la mwaka huu tangu linaanza lakini bunge la leo baada ya wapinzani kususia bajeti ya Nishati na Madini huwezi kutamani kuendelea kutazama wala kusikiliza jinsi lilivyo poa sijui wenzangu mnalionaje.
  15. D

    Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

    Hata mimi natoa shilingi ili hoja hii ijadiliwe kwa kina hapa jf.
  16. D

    Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

    Hata mimi natoa shilingi ili hoja hii ijadiliwe kwa kina hapa jf.
  17. D

    CCM ina vijana wasomi kuliko chama chochote hapa nchini

    Mkuu jipange upya unataja wabunge, mawaziri wanachama au viongozi wa CCM na ukisema wanachama siorahisi kuwajua wote, wasomi wengi wakiwa upinzani hawajiweki wazi kutokana na kazi wanazofanya na kuhofia hujuma toka CCM.
  18. D

    Nape amdhulumu mshindi wa Maisha Plus 2013

    Mbona unamtetea sana nape huwa anakupa kitu gani?
Back
Top Bottom