Search results

  1. DeepPond

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Hamna kitu inauma ujijute unalea Bao la mwanaume mwenzako
  2. DeepPond

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Na Sasa mabint wa mjini wamejijulia ka mchezo ka kugeuza watoto Kama Chanzo Cha mapato kwa kuforce kuzaa na Watu maarufu au wenye nafuu ya maisha. Bint anajua kbs jamaa keshaoa,hanipendi ila anaforce aloweke ishike mimba tu, afu mengine atajua mbele ya Safari. Baada ya mimba zinaanza sarakasi...
  3. DeepPond

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Hizi dini pia zinachangia, Mabint wanafundishwa kuzikataa condom, vijana wanaelekezwa kutokumwagia nje. Huwez mwambia mtu asitumie Kinga na asimwage nje wkt mtu mwnyw anajijua kbs he's not committed to marriage. yaani "Hapa nasuuza rungu TU" Matokeo yake Ni single mothers pamoja na watoto wa...
  4. DeepPond

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Mi nasema, "Sio kila mwanamke lazima umwagie ndani, imeshindikana piga TU nyeto Kama dronedrake "
  5. DeepPond

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Soon baada ya kuoa, Nliamua nisitishe uefa za usiku sn nisimkwaze wife, alkua hapendi. Kichotokea sasa, 1. Siku nmechelewa kurud kwny uefa coz mvua alikua inanyesha, mvua ziliblock njia, akagoma fungua mlango akinambia nkalale uko uko. AISEE USIKU ULE NILILALA KWENYE GARI, akaja nifungulia...
  6. DeepPond

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Sio kumkumbushia, alimchum😊
  7. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Ha ha ha.....ebu kuweni serious basi
  8. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Ni Cha kwanza ujue kutunga misamiati ya kukomoa
  9. DeepPond

    God is dead

    Kiburi Cha uzima hiki🤔
  10. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Mbona elimu wanaifanya mateso sasa
  11. DeepPond

    Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Kwamba USA nako tanesco Yao kama ya maharage wetu?
  12. DeepPond

    Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Kwenye media hype kubwa Sana, Real ground Ni vitu viwili tofaut kabisa
  13. DeepPond

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Ebu fanya Kama unanitag kijanja😊
  14. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Ha ha ha...walio pemben wanaweza hisi unateta na mhudum jins ya kuwafanyia ugaidi😊
  15. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Umenena point muhim sn mkuu🙏
  16. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Ukawii kuhisiwa wee ni mhamiaji haramu
  17. DeepPond

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    wadada wa jf wana usangati mwingi sana😃
Back
Top Bottom