Search results

  1. Mdugo

    Je, hii ni dhahabu au aluminium?

    Samahani wanajamvi, poleni na majukumu. Nimekutana na hii kitu na ni mgeni kabisa wa mambo haya, sijui ni nini na sijui soko lake likoje kwa kifupi sijui pa kuanzia. Kama ni dhahabu nini nifanye na soko napata wapi na kama sio nifanyeje, kwa wenyeji wa haya masuala ya madini please naomba...
  2. Mdugo

    Unatumia Samsung Kuna ujumbe wako

    Samsung wana Smart Reply pia bwana... Samsung hawana sent time ya meseji uliyopokea. Google Messeges wana time sent kwenye msg details
  3. Mdugo

    SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Andiko zuri sana. Nielekeze jinsi ya ku vote natumia JF App
  4. Mdugo

    FURSA NZURI YA INCLUSIVE FX inakupatia faida kila siku kwa kuwekeza kiasi kidogo cha pesa bila kufanya kazi yoyote

    Niambie hujapigwa? Mbona wenzio wanadai muda sana account zao ziko out of reach
  5. Mdugo

    Naomba kufundishwa ufundi simu

    Asante sana... Ngoja nijisajili. Haya mafunzo ni kwa ajili ya sheria na taratibu za TCRA katika ufanyaji kazi. Pia nadhani ni maalum kwa ajili ya kupewa leseni na kutambulika. Asante sana kwa kunipa hizo taarifa sikuwa nazo kabisa.
  6. Mdugo

    Naomba kufundishwa ufundi simu

    Salaam wana jukwaa. Naomba nianze moja kwa moja bila kupoteza muda. Mimi ni mhitimu wa Chuo cha Kikatoliki Mwenge, Moshi katika Bachelor of Science With Education. Katika pita pita zangu nimefundisha shule kadhaa tangu nimalize mwaka jana, Ila naomba kupata ujuzi zaidi katika Ufundi wa Simu...
  7. Mdugo

    Kutoka kwenye ulimwengu wa movie: Je, Corona virus ni mwanzo tu?

    The Last Ship ni hatari mzee... Dokta Recho alipiga sana kazi na captain wake Chandler... Daaah Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mdugo

    Msaada: Anayenunua fedha za kale (rupia)

    Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
  9. Mdugo

    Msaada: Ninaomba mwenyeji wa Makambako tuwasiliane

    Tarura au TAZARA?? Ni mwenjeji Makambako Mimi.
  10. Mdugo

    Vyuo 10 Bora Tanzania 2019

    Utaratibu wa kupanga hizo trend hata mimi huwa napata shida sana. Specification hakuna mtu anashidwa kujaji kabisa yaani... Sasa labda tumuulize mleta Uzi kuwa criteria ni nini hapo kwa hiyo classification yake
  11. Mdugo

    GSM alladin

    Nimewnza mdogo mdogo... Imekuja hiyo error shida itakuwa nini hapi
  12. Mdugo

    GSM alladin

    Thanks a lot
  13. Mdugo

    GSM alladin

    Asante sana kamanda...
  14. Mdugo

    GSM alladin

    Hapa ni wakati wa kuflash sio?? Bado sijafanya operation hii... Na nategemea soon nitafanya hii nikikwama pia nitakuuliza mkuu... Asante sana
  15. Mdugo

    GSM alladin

    Thanks a lot... Windows 7 64 bit... Nimefanikiwa operation niliyokuwa nahitaji. But nimeshimdwa kusoma password ya simu ambayo nilikuwa najaribishia. Naambiwa niinstall drivers gani sijui nimesahau... But nitaweka screenshot hapa. Nimefanikiwa kutoa frp kusoma pattern n.k. Bado naifanyia...
  16. Mdugo

    GSM alladin

    Jamani Mimi ni mwanafunzi... Na kwa sasa Niko katika harakati za kujifunza jinsi ya kutumia hiyo program ya computer. Naomba kujua tatizo nini napoishia hapo katika operations zangu. Inakwamia hapo mda mrefu sana bila mafanikio yoyote. Kwa mjuzi zaidi, naomba kujua shida huenda ikawa nini...
Back
Top Bottom