Search results

  1. gstar

    Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

    Kitabu nimekicopy ndio hiki je wataalamu kuna code zozote zimefichwa humu, kimeandikwa in poetic form. THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP There once was a man That was pretty old Who did silly things and Who couldn't be told. When I asked About his age, He smiled and said, "Have you seen me on...
  2. gstar

    Baba Levo akiri kuwa ana wake Wawili

    Baba Levo Baada ya mahusiano ya Baba Levo na mzazi mwenziye anayejulikana kama Mama Ruby au Salma kuvunjika, inasemekana kwamba mkewe huyo Salma alilaghaiwa na vibopa ili amwache Baba levo akaenda afrika ya kusini kula bata. Huku nyuma Baba levo alihangaika sana kwenye mahusiano kwakuwa alikuwa...
  3. gstar

    Tanzania imeshindwa kutoa tenda kwa makampuni makubwa kutengeneza jezi za Taifa Stars?

    Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brand zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one! Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi...
  4. gstar

    Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Acha kudanganya watu ndugu yangu
  5. gstar

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Siku mtakapo fuata maelekezo ya Papa sijui kubariki, sijui ujinga gani? Eti, couple ya mashoga mnawabariki kanisani. Ndipo hapo nitakapo acha kabisa kwenda kanisani. Na hii msituone waumini tumekaa kimya tumechukizwa sana na kauli hiyo, haiingii akilini na ina leta ukakasi katika utekelezaji...
  6. gstar

    Jinsi uislamu ulivyobadili historia ya Israeli kuwa Palestina

    Ukweli ni upi na uongo ni upi?
  7. gstar

    Jinsi uislamu ulivyobadili historia ya Israeli kuwa Palestina

    Mtume Muhammad (SAW) alitokewa na njozi alipokuwa pangoni mnamo karne ya 7 A.D. Njozi hiyo ilimtaka kwamba aanzishe dini mpya ya kiislamu. Ikumbukwe kwamba kwa wakati huo dini ya kikristo ilikuwa imesha shamiri mahali kwingi ulimwenguni ikiwemo Asia na Ulaya Mashariki. Kwakuwa dini ya Kikristo...
  8. gstar

    BAKITA acheni upotoshaji, Decoder ni King’amuzi, Transmitter ni Kisimbuzi

    Wewe umetoa wapi hii, kama huna elimu ukae kimya uliza wenye elimu tutakuelezea, mtaalamu wa Computer Science nitakuchambulia kwamba BAKITA walikuwa sahihi. DECODER Neno decorder imetokana muungamiko wa maneno mawili yaani DE-CODE ambapo CODE ni msimbo kwa kiswahili. Ku DE-CODE ni kubadilisha...
  9. gstar

    Wanasheria wachambua kesi ya Mama aliyefungwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swala

    Anaitwa Maria Ngoda, mkazi wa mtaa wa Zizi la Ng'ombe, Iringa. Siku ya tukio alikutwa karibu na makazi yake na ndoo iliyosadikika kuwa na vipande 12 vya nyama. Baada ya utambuzi, vikabainika ni nyama ya Swala. Nyama hiyo, imetajwa kuwa na thamani ya TZS 900,000. Maria akajitetea akasema hakujua...
  10. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Fanya unaloona nisawa ila usiwasahau mababu zako, dini ni imani tuliyoletewa ili kututawala ki fikra, Amini.
  11. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Huyo jamaa hana adabu, kila mtu anamuita dogo.
  12. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Allah humfahamu zaidi, umekariri vitabu usivyo vielewa umelazimishwa kujifunza lugha ya kiarabu ili uwe muislamu, mwisho wa siku umebaki kuwa mtumwa wa fikra na kuabudu mwezi na kibla.
  13. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Wewe unaamini kwenye nini, unaamini kwa mba Yesu ni Mungu? ama unamwamini Allah usiyemjua vizuri?
  14. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Akili yako fupi sana, umuwazia mtu usiye mjua, mimi ni kaka yako.
  15. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Unaonyesha ujinga wako hadharani, hao wazungu wanatengeneza silaha za moto wanaua watu kwa maelfu husemi, huoni kwamba huo ni unyama ulio pindukia. Mauaji ya ualbino ni unyama kama mwingine, haiondoi umuhimu wa kuwaenzi mababu zetu waliokufa wakitetea mila za mwafrika.
  16. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Wangapi wako tayari kujiunga na dini hii, tuandike kitabu chetu kitakatifu cha dini ya kiafrika.
  17. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Tumwombe waliyekuwa wakimwomba, wao tuwafanye kuwa watakatifu, tuombe kupitia mizimu yao tutunze asili ya uafrika wetu.
  18. gstar

    Tuanzishe dini ya kiafrika, kuabudu mizimu ya babu zetu

    Usiwe brainwashed hicho kitabu hujaandika wewe, umeletewa na wazungu umekiamini kuliko mizimu ya mababu zako, ingekuwa wanakupenda sana wasingechukua babuzetu watumwa na kupora ardhi yetu kwa mtutu wa bunduki.
Back
Top Bottom