Search results

  1. Dropout

    Haya sasa wale wadau wa kuforce furaha

    haya sasa wale wadau wa kuforce furaha,njooni tufurahishane na Memes kali kutoka katika machaka mbalimbali, ukiwa na meme yoyote inayofurahisha njoo utupie, ukitaka kuona memes Kali njoo hapa..
  2. Dropout

    SoC01 Je, ni nani anabeba msalaba wa ukosefu wa ajira Tanzania

    Nawasalimu wanajukwaa wenzangu, salamu iende mbali zaidi kwa wewe kijana mwenzangu ambaye hapo ulipo sio muajiriwa, muajiri wala hujajiajiri.Salamu hii iwe chachu ya kuleta jibu juu nani anapaswa kubeba msalaba wa ukosefu wa ajira ambao umekuathiri baina ya vijana Tanzania. Kitakwimu yaelezwa...
  3. Dropout

    Jipatie Katiba, Kanuni na nyaraka muhimu za Taasisi yako

    Hello jf Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya) Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana...
  4. Dropout

    Muhimu, wenye makanisa, miskiti na vikundi vidogovidogo inawahusu hii, Legal Drafting consultant

    Wasalam, Napenda nichukue nafasi hii kuwakaribisha katika kushare skills zangu kwa jamii yangu kupitia kuwasaidia watu wenye vikundi miskiti na makanisa mbalimbali kujipatia huduma ya kutengenezewa (drafting) katiba na kanuni za taasisi ili waweze kuwa na nyenzo hizo muhimu ambazo zitawasaidia...
  5. Dropout

    Uzi maalum kwa ajili ya watumiaji wa simu janja (Smartphone) aina ya Oppo

    Wakuu habari za bata na mihangaiko, uzi huu ni maalum kwa simu za Oppo, simu zinazojulikana kama Android Apple kutokana na kufanana sana na aApple kwenye operating system yake ile (Colour OS). Binafsi natumia Oppo R11s. Ila nataka soon nichukue mzigo wa Oppo Reno 10x zoom pichani Sent using...
  6. Dropout

    Droupouts wa vyuo tukutane hapa

    wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa . binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
Back
Top Bottom