Ile penalty ni sahihi kwa sababu mkono ndio ulikuwa wa kwanza kucheza mpira ambao ulikuwa unaelekea langoni mwa Spain na pia Mkono wa Pique ulikuwa on way kufuata mpira!
Tatizo sio kwa mtu yeyote Tanganyika hii kuhojiwa, tatizo linaanzia kwenye Timing ya kumhoji Mtu. Hapa ndio weledi wa utendaji unapokuwa kwenye Mashaka!
Badala warudishe na walipe fidia, wanarudisha kwa Mkopo?????? hivi AU haiwezi kusimamia kudai Mali za Africa zilizoporwa ambazo mpaka Sasa zipo na zinaingiza kipato huko ulaya!!
Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.