Search results

  1. Mr Mwaka

    Hafla ya uwekaji jiwe la msingi upanuzi wa barabara ya njia sita Kimara hadi Kibaha

    Ni sawa na mtu anaye nunua kiwanja au kujenga nyumba kwa hela ndogo aliyo nayo, alafu kila siku anashindia dagaa.. baada ya miaka mitano atakuja kugundua kua kumbe alifanya maamuzi bora zaidi.
  2. Mr Mwaka

    Ushuhuda kwa wanaume wote wenye tatizo la nguvu za kiume

    Its a type of marketing brooo... hata hivyo kupiga show bila kufika mshindo ni tatizo.. maana utakua huridhiki na kumchosha mwenzio.. raha ya tendo ni wote kufikia mshindo..
  3. Mr Mwaka

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    TBC Watambue kua hicho chombo ni cha Watanzania, wamiliki wa TBC ni watanzania wote, wakiwemo wana CCM, Wana CHADEMA, Na wengine ambao sio wanasiasa. kama wataamua kurusha mikutano ya kisiasa basi wasiegeemee CCM tu, warushe ma vipindi vya CHADEMA... They a so biase.. ndo maana TBC inachukiwa na...
  4. Mr Mwaka

    Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Microchip inao uwezo wa kuhifadhi data aina zote, Lakini haipigi picha, Huyo mwandishi wa gazeti hakuelewa course ya CIT...
  5. Mr Mwaka

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Ozzie, Asante kaka, endelea kutoa facts.... kuna watu hawajielewi humu... yeye anawaza Hotel tuuu hajawaza productivity ya mji....
  6. Mr Mwaka

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Ningefurahi sana kama mkuu angewambia kua wale wote ambao wanajiuzuru ubunge na kuhama chama, hakuna kufanya uchaguzi mpaka mwaka 2020, Hawa wanaojiuzuru wanatuingiza hasara, gharama kubwa ya mabilioni ambayo ingetumikakufanya mambo ya maana inagharamia uchaguzi amabao umesababishwa na maamuzi...
  7. Mr Mwaka

    Geita: Marufuku mtumishi wa umma kuvaa suti. Utavaa siku akija Rais au uwe mgeni rasmi tu

    navaa suti na chapa kazi, tatizo liko wapi..?
  8. Mr Mwaka

    Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

    Ikiwezekana akupe na kipigo, ili ujue kua upendo umezidi kipimo...(wakurya)
  9. Mr Mwaka

    Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

    Watanzania....acha tuitwe watanzaniaaaa... tunaongea sana... tuanasahau haraka... tunalaumu sana... , tumepigwa sana katika tawala mbili zilizopita, tumebiwa sana, tumefisadiwa sana.. leo hii tumesahau mara. tunatukana, hata kwa mazuri yanaofanyika hatupongezi..tunalaumu tu.. utawala huu...
  10. Mr Mwaka

    Baada ya hiki nini kitafuata

    Du... ushauri wa vijana ni hatari... Mrudishie hiyo hela....
  11. Mr Mwaka

    Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

    Umesema Waafrica wote ni nyumbu. hata wewe ni mwafrica pia, Naomba ukubali kwanza kua wewe ni nyumbu. bila kujali ni nyumbu dume au nyumbu jike
  12. Mr Mwaka

    Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

    w Wewe ndo nyumbu kabisa...
  13. Mr Mwaka

    Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

    Sio kweli kua tunachukiwa duniani kote, Africa pia ni dunia, nako tunachukiwa..? halafu sio mwafrica tu anaye chukiwa, Myahudi ni mweupe lakini nae anachukiwa na waarabu... wamarekani pia huchukiwa na waarabu...
  14. Mr Mwaka

    Hebu angalia kiti hiki na kisha ujibu swali

    Nampongeza, ingekua jeshini nampandisha cheo maana yeye ni jasili
  15. Mr Mwaka

    Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

    Hayo ni mapungufu yake, Lakini hilo gazeti mbona halijawahi kuripoti mazuri yake...?
  16. Mr Mwaka

    Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

    Wazungu watakusifia tu pale utakapo kubaliana na kile wanacho kitaka.... Hilo gazeti la The Economist mbona halijawahi kuripoti uwizi wa madini unaofanywa na makampuni yao ya kuchimba madini....?
  17. Mr Mwaka

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    1. Kwanza ujue Mungu sio dictetor, ametuumba sio kama roboti, ila wenye utashi, uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi ya kumtii au kuto mtii, kuheshimu taratibu zake au la. Hata malaika wamepewa uamuzi wa kumtii au kuto mtii. Mungu hakumuumba Shetani, alimuumba Lucifer. LUCIFER aliamua kutotii...
  18. Mr Mwaka

    Apandishwa kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli. Alisema 'Rais kitu gani bwana!'

    Makosa yapo kwenye kutunga hiyo SHERIA, sio kwenye kutekereza hiyo SHERIA, na raisi siye aliye itunga hiyo SHERIA...
  19. Mr Mwaka

    Apandishwa kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli. Alisema 'Rais kitu gani bwana!'

    , Hiyo sheria ipo au haipo...? kama ipo mnataka isifanye kazi..? kwa nini ilitungwa..? Raisi ni Kiongozi wa nchi, huwezi tamka mbele public ''kua raisi ni kitu gani'' unachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria unahisi umeonewa... neno ''raisi ni kitu gani'' litamke chumbani kwako sio mbele ya...
  20. Mr Mwaka

    Tundu Lissu: Rais Magufuli hana tofauti na Kikwete, Mkapa kwenye usiri kuhusu madini

    Lisu yuko vizuri sana kisheria, ila sio muda wote lazima iwe siasa. Sifia panapo stahili kusifia, na kosoa panapo staili kukosoa. Namuombea apone haraka huko aliko aje akosoe palipo kosewa, ila ajaribu kutumia approach nzuri. sio kama maneno haya ''Rais wa ajabu, ajabu sijapata kuona''
Back
Top Bottom