Search results

  1. Kamisaa

    Soma hapa Kitabu cha January Makamba na Tanzania Mpya

    Mahojiano ya Ndugu January Makamba & Gerald Hando (Power Breakfast Clouds FM) kuhusu Tanzania Mpya https://soundcloud.com/jmakamba/mahojiano-ya-mh-january-makamba-gerald-hando-powerbreakfast-clouds-fm-kuhusu-tanzania-mpya
  2. Kamisaa

    Barabara ya Bumbuli jimboni kwa January Makamba

    Mkapa alitatua matatizo yote Masasi? Alikuwa mbunge miaka mingapi? Kikwete alitatua matatizo yote ya Chalinze na Bagamoyo? Alikuwa mbunge miaka mingapi? Lowassa amemaliza shida zote za Monduli? Amekuwa mbunge miaka mingapi? Pinda, Membe wote wamemaliza umaskini majimboni kwao na barabara zote...
  3. Kamisaa

    Nina wasiwasi na January Makamba

    @msemakweli Wewe msemakweli gani uliye muongo kiasi hichi? Naona takwimu zimekusuta, sasa ukaamua kugombana na watoa takwimu! Umeshindwa hoja. Eti nisome comments za online forums kweli? Hizo ndizo representative sample za waoni ya Watanzania kweli? Yaani umenisikitisha na kunidhalilisha...
  4. Kamisaa

    Nina wasiwasi na January Makamba

    Bwana msemakweli Unachosema hapo juu hakiendani na scientific polling ya Watanzania iliyofanywa na Shirika la Twaweza mwezi uliopita juu ya swala hili, ambao asilimia 82% wanapendelea single tourism visa ya Afrika Mashariki. Anachosema January Makamba kwamba Tanzania inabidi itoe uongozi na...
  5. Kamisaa

    January Makamba Umetuangusha Kuhusu Ufisadi Escrow !

    Watanzania msidanganyike. Watu wapo kazini kumchafua January. Wanaofanya kazi hii wanajulikana. Hawatashinda.
  6. Kamisaa

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Mwakani January Makamba atakuwa na miaka 41, siyo 50. Kwa mujibu wa Katiba ya sasa, umri wa kugombea Urais ni miaka 40 na haujabadilishwa katika Rasimu mpya.
  7. Kamisaa

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    ASANTENI SANA! Naomba kurudia kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote miongoni mwenu, wake kwa waume, wazee kwa vijana, walionitumia ujumbe na salamu kutoka pande zote za nchi - kwa kupiga simu, kwa kutuma ujumbe mfupi wa simu na kupitia mitandao ya kijamii - kueleza kufurahishwa kwao na...
  8. Kamisaa

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    HOTUBA KAMILI YA JAKAYA ALIYOTOA BUMBULI NA KAULI YAKE JUU YA JANUARY MAKAMBA KUGOMBEA URAIS: https://soundcloud.com/jmakamba/hotuba-ya-mheshimiwa-rais-jakaya-kikwete-soni-bumbuli-julai-9-2014
  9. Kamisaa

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Vijana wauza matunda eneo la Korogwe, Tanga na maoni yao kuhusu Ndugu Januari Makamba na nia yake ya kugombea Urais:
  10. Kamisaa

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Hoja ya kuiba mitihani ya A level ni riwaya ya JF. Kilichotokea amekizungumzia yeye mwenyewe kwa uwazi sana siku nyingi sana katika hii makala January Makamba.com ambayo inaelezea jinsi gani alivyonusurika mara nyingi kufukuzwa shule Marekani kwa kukosa ada, na jinsi gani alivyosumbuka kuomba...
  11. Kamisaa

    January Makamba Na Baraza Jipya: Ni Manun'guniko

    MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA GLOBAL PUBLISHERS... KARIBU msomaji wetu katika makala maalumu kuhusu Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Global Publishers Ltd ilimualika January Makamba mwishoni mwa mwaka jana na hapa ni mfululizo wa mahojiano kati yake na wafanyakazi wa...
  12. Kamisaa

    Pole January Makamba

    Ukitazama video utaona hakuna ukweli katika mambo mengi ambayo mtoa mada alidai kusemwa: 1) "January alikuwa amevalia suti yake nyeusi na shati nyeupe ikiambatana na tai nyekundu," - HAKUVAA TAI NYEKUNDU 2) "nilikusikiliza ukisoma kitabu cha Yeremia moja na kwamba kwa maneno yaliyomo katika...
  13. Kamisaa

    Pole January Makamba

    Chuki tu inakusumbua. Bahati nzuri maelfu ya watu wapo inspired na January kila wakimsikia akizungumza au wanapoona utendaji wake. Haya matusi na kebehi dhidi yake hazina uhalisia wowote, huyeyuka pale watu wengi wanapozidi kung'amua kwamba ni majungu tu. Poleni sana mnaoendekeza majungu na chuki.
  14. Kamisaa

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    MAKAMBA: IPO HATARI YA MPASUKOFRIDAY, DECEMBER 27 2013, 7 : 52 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. January Makamba, amesema ipo hatari ya Tanzania kumeguka vipande kutokana na watu wachache kujinufaisha na rasilimali zilizopo nchini badala ya Watanzania wote. Alisema nchi...
  15. Kamisaa

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    Makamba: Taifa Linahitaji Uponyaji http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/20180-makamba-taifa-linahitaji-uponyaji
  16. Kamisaa

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    MWANZA:Naibu Waziri wa wizara ya Sayansi na Teknolojia Januari Makamba amesema taifa lipo katika kipindi Kigumu hivyo kuwataka maaskofu na wachungaji wa makanisa mbalimbali nchini kuiombea nchi yetu ili ipate kiongozi mwenye sifa zinazotajwa katika Biblia. Akizungumza kwenye Hotel ya Victoria...
  17. Kamisaa

    Pole January Makamba

    Sio Mchungaji huyo ni mtunzi wa hekaya anayelipwa kumchafua January Makamba. Watanzania mnapumbazwa kirahisi sana. Lazima atakuwa ni mwandishi wa habari anayelipwa na watu fulani aliyeona ni bora ku pre-empt habari ya tukio lile kwa kuanzisha uzi huu wa kumpaka matope January. Its obvious.
  18. Kamisaa

    Pole January Makamba

    1) Hakuwaita viongozi wa dini bali wao ndio waliomwalika katika sherehe yao ya kila mwaka. Kila Kristmasi viongozi hawa wanakula pamoja, sio mara ya kwanza. Ukisikizia sauti ya hotuba kuna ushahidi tosha kwamba January alialikwa kuhutubia, akaingia akawakuta wameshakaa, akaongea, wakala...
Back
Top Bottom