Search results

  1. Y

    Missed calls 13 ni sababu tosha ya kuachana naye, Muasherati Mkubwa

    Kaka hayo ni mambo mazito ambayo yanahitaji utulivu mkubwa!! Inaumiza sana lakini sema asante kwa kuwa umefahamu mapema vinginevyo ingekutesa maisha yako yote... Ipo siku utasahau haya na kufurahia mahusiano mapya.
  2. Y

    Walimu wamtisha Rais Magufuli, wampa siku 15

    Sijui safari hii. Kwa viongozi wetu hawa hawa??? Acha tuone...
  3. Y

    Hali ya Usalama Jijini Dar inazidi kuzorota, Vyombo vya Usalama vinafanya kazi gani?

    Duh hii ni kali...wananchi wanapaswa kulindwa kwa namna yoyote ile...inasikitisha
  4. Y

    Mkwepa kodi mkubwa huyu hapa

    mmh!! kazi ipo
  5. Y

    Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

    Chama Cha Mabanda watajibeba
  6. Y

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    fikiria kwanza ndo useme!!
  7. Y

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    mlioko juu juu zaidi, ni muDA WA KUJIHOJI VIZURI.Watu wanauwezo wa kuchambua mambo bwana..
  8. Y

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    hapo ndio URAIS wa nchi ya tz unapokuwa kaa la MOTO. MAASKOFU OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE twende kazi ...........chezea MAASKOFU wewe.........
  9. Y

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    naam!!ashughulikiwe mara pamoja na wengine
  10. Y

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    mimi na wote wenye mapenzi mema nilionao hapa tumemchoka huyu mtu, tumng'atue hapo anapotanulia!aliwekwa na watu na pia atatolewa na watu.Iwe kwa hiari yake au la.TUMTOE
  11. Y

    Uchaguzi Mkuu 2015: Mkakati uwe ni kuongeza idadi ya wabunge CHADEMA na siyo kupata Rais wa CHADEMA

    hapa dawa ni kuongeza wabunge wa chadema na Kumpata RAIS pia wa CHADEMA kwani ndo wenye uchungu na inji hii.Hapo vipi?
  12. Y

    Mambo! wazima nyie?

    poaaaaaaa vp wewe
  13. Y

    Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

    mmmh mambo ndo haya
Back
Top Bottom