Search results

  1. G

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    ili shetani utawale au umechemka mkuu
  2. G

    Salalee, Jamaa alikuwa anaendesha punda!

    japo ya zamani,umenirudishia ndoa yangu,thanx
  3. G

    Bila Mbowe CHADEMA kwisha...

    Ww unaleta mawazo ya kuku tu,ww ni jamíí ya magamba,si wakati wa nani amefanya nini?Ni wakati wa utaifanyia nn cdm kuingia ikulu,mleta mada jipange haina makali hii
  4. G

    Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

    Slaa kusitisha m4c kwa siku 3 ili kupisha sensa ni upuuzi,wakati mnaendelea na mikutano ya m4c haukuwa na taarifa za sensa!I (KIWA TU HOJA NI SENSA)
  5. G

    M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

    Nimeipenda@janjaweed
  6. G

    Vipeperushi, fulana za kususia sensa kwa waislam zasambazwa

    Ndugu zangu waislamu,katika vitu ambavyo vinadhalilisha utu w2 ni hili,HATA MTUME S.A.W ALIFANYA SENSA WAKATI WA JIHAD MAJUMBANI MWETU KABLA HATUJAPIKA MAMA ZETU WANAFANYA SENSA YA WATAKAOKULA CHAKULA WAZO LANGU TUCHANGE PESA TUAJIRI WATU WATAKAOTUFANYIA SENSA AU TUWEKE ATTENDANCE MSIKITINI ILI...
  7. G

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Ritz; ww ni kitoto cha balozi wa nyumba kumi ee?
  8. G

    Kwa hili wanawake mnachosha

    [QUOTE=Madame B labda akiwa mwakani
  9. G

    Najiandikia Barua

    Nina mning'inio wadau
  10. G

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    @ Jackbauer what is dr?nakupa hii, mikoa mingapi wakazi wake wamekutana na yanayofanana na ya ulimboka?madai ya drs ni kutekwa kwake?damu ya ulimboka si ya ukombozi,ni ya laana kwa watz?no comfirmed point about him,why gvnt?
  11. G

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Uungwana unaanzia kwako,madaktari damu yao iwe ya ukombozi,yetu iwe ya kusahulika!kunya anye kuku,akinya bata kaharisha,hata raia ni watu
  12. G

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Ziada ya kipato kukipata kupitia roho za watu huu ni ufreemasons,najiuliza kama mlikuwa hivyo mmefuata nini huko afya,iko wapi kujitolea kwenu kwa ajili ya afya zetu,politcs in profesionals is more harmful than expired medics, lol drs
  13. G

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Uungwana unaanzia kwako,madaktari damu yao iwe ya ukombozi,yetu iwe ya kusahulika!kunya anye kuku,akinya bata kaharisha,hata raia ni watu
  14. G

    Kibonde amtetea Ngeleja

    we acha wepesi wa mawazo!
  15. G

    Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

    barak obama acha kuwa njia panda kama vp endelelea na mkataba wk wa jehanam,funguka
  16. G

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Ngongo mm nimekukubali,cdm kukosolewa si dhambi kiac cha william kupewa kejeli kihvyo!jamii yako ikikuambia mvivu wa kufikiria jipange na ujiongeze!wadau na wafuasi wa cdm si kila jambo la kushabikia,kwa hili la ma v8 siwaungi
Back
Top Bottom