Search results

  1. Abby Newton

    Aloyce Nyanda awashangaa Watanzania wanaotumia muda mwingi kumjadili Ole sabaya badala ya shughuli za maendeleo

    Aloyce Nyanda ana unguli upi? Kwanza ni muoga,hajiamini na anahoji maswali mepesi kwa kupendelea CCM na serkali. Ndio maana kamwe hawezi kuchukuliwa na Television kubwa km Azam na ITV. Kwangu ni mganga njaa tu.Hana lolote.
  2. Abby Newton

    Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Hicho ndo kinasababisha nisitembelee Hiyo mikoa. Nakereka sana napoona huo uharibifu wa mazingira uliokithiri.Angalau mikoa ya kusini kunaafadhari. So sad.
  3. Abby Newton

    Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Ushauri mzuri mno tatzo thread km hizi wasomaji huwa wachache . Mimi ninapotembea au kusafiri hakuna kitu kinanivutia km kuona mistu na uoto mzuri wa asili. Pia huwa nakerwa sana ninopoona jangwa na uharibifu wa mazingira.
  4. Abby Newton

    Mbolea ipi ni nzuri kwa kupandia mahindi DAP vs NPK

    NPK aina ya Yara Otesha inafanya vizuri sana. Muhimu weka mbolea yako siku 7 baada ya mahindi kuota. Usipande na mbolea moja kwa moja,kwani inasababisha "wastage" ya mbolea kwa kubebwa na maji au ikitokea upunguvu wa mvua mbegu zinaweza kuungua.
  5. Abby Newton

    Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Mimi kura yangu ni kwa Edo. Ni mchambuzi ambae kwanza hatumii nguvu sanaaa kufanya kazi yake,utani kidogo na jamaa anajua sana kuandika.
  6. Abby Newton

    Naomba ushauri juu ya mfumo huu wa Elimu

    Kanuni ya kusoma na kufauru darasani ni rahisi na inaeleweka, ila kanuni ya kufanikiwa kiuchumi ni siri nzito.
  7. Abby Newton

    Mwenye utaalamu wa kuzalisha mmea wa Azolla naomba msaada

    Asante, nilifuatilia source tofauti tofauti na sasa nimekuwa Mwl.
  8. Abby Newton

    INAUZWA Tunauza ng'ombe bora wa maziwa

    Ni Fresian pekee au una aina nyingine.
  9. Abby Newton

    Jina la "Utopolo" linapotea kwa kasi mtaani

    Ni ajabu na kweli kwamba lile jina lililokuwa linawanyima usingizi mashabiki na wapenzi wa Young African sasa limejifia lenyewe by "Natural Death" huku wenzao wakipokea shurba hiyo kwa jina lao la "Makolo" kuibuka na kujipatia umaarufu mkubwa. Kweli kutesa kwa zamu. Tafuta hela heshima...
  10. Abby Newton

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapofanya kazi katika kampuni inayomilikiwa na Waarabu

    Pia Warabu wanajifanya wajuaji wa kila kitu. Anaweza kukuita km mtaalamu umfanyie kazi fulani km ujenzi,ufundin.k. Ukifika kwake anaanza kukufundisha namna ya kufanya/ kutengeneza. Ukijifanya mjuaji zaidi ake anakutimua.
  11. Abby Newton

    Dr Kijazi: Kutakuwa na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka, wakulima chukueni tahadhari!

    Duuu hadi ukame unaletwa na Ma CCM? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
  12. Abby Newton

    Nafasi ya secta ya kilimo kwenye uchumi wa taifa letu

    Taarifa km hizi watu wanapita tu,ila ungeandika " Jinsi ya kubeti na kushinda kirahisi" weeee!uzi ungevamiwa. Hii ndo akili ya vijana wa leo. Very sad
  13. Abby Newton

    Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka hadi nmepaliwa
  14. Abby Newton

    Nilivyoshindwa kizembe kusoma udaktari

    Masihara,hamna lolote!
  15. Abby Newton

    PICHA: Muonekano wako kaburini baada ya miezi 6

    Tz kila kitu ni uchochezi.
  16. Abby Newton

    PICHA: Muonekano wako kaburini baada ya miezi 6

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani akili za Watanzania buana!
  17. Abby Newton

    Taifa Stars kuelekea Benin kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia

    Inasemekana Uraia wake unashida.
Back
Top Bottom