Search results

  1. Dr Louis

    Wewe ungechagua Lipi?

    Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni 1 muachane kama hautaki basi tegemea siku za hivi karibuni atakuacha tu. Utachagua lipi kati ya...
  2. Dr Louis

    Jamani sherehe ni watu

    Ndugu zangu Waislamu, Issue ya Pasaka wenyewe mliona Covid-19 ilikuwa imechanganya, lakini hii Eid si mnaona hata mipira imeanza. Tufanyiane wepesi basi leo mchana. Dini zinakataza visasi.
  3. Dr Louis

    Tuishi humu kwa kuheshimiana, kusitiriana na kuweka akiba ya maneno

    *Kama una miaka kati ya 20-25, upo uwezekano mkubwa Baba na Mama mkwe wako wa baadae wamo humu mitandaoni. Kama una miaka kati ya 25-45 upo uwezekano mkubwa mkwe mwenzako yuko humu mtandaoni. Tuishi humu kwa kuheshimiana, kusitiriana na kuweka akiba ya maneno. Hujui kesho mtakutana wapi...
  4. Dr Louis

    Je, ni zawadi gani inayomfaa huyu binti?

    Ni matumani yangu kwamba humbu ndani wote hatujambo ila ikiwa yupo ambaye hayuko poa kiafya namtakia uponjaji.KWA NINI HOUSE GIRL ASIMCHUKUE MUMEO,,,? Kwa kukaa kama Sanamu. MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu plz MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua? DADA...
  5. Dr Louis

    Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Kama inavyosomeka.
  6. Dr Louis

    Kampani wapendwa ni muhimu.

    Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu. Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu sehemu za starehe sipendelei kwa sababu maalumu.
  7. Dr Louis

    My new year

    My New Year *RESOLUTIONS* : 1.Drinking - *DELETED* [emoji818] 2.Partying - *DELETED* [emoji818] 3.Oversleeping - *DELETED*[emoji818] 4.Clubbing - *DELETED* [emoji818] 5.Sex - *DELETING FAILED* [emoji724]file is protected[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
  8. Dr Louis

    Kuibiwa,ndiyo hoja kubwa sasa kwa Chadema.

    Wanajamvi amani weI nanyi. Kama wasemavyo wana Chadema kama kwenye uchaguzi mdogo kiasi hiki wanalalamika kuchezewa rafu na CCM,tena na kuamua kurudisha majeshi yao nyuma si ni aibu kubwa hata kwa wanaowaongoza kutwa kulalamika kwenye mitandao tu bila kutafuta ufumbuzi. Hakuna Nyuki yeyote...
  9. Dr Louis

    Budget ni muhimu jamani vyuma vimekaza.

    Leo ni tarehe 17 November TUKISUBIRI MSHAHARA MPYA... Baada ya mwezi huu kuisha,utafuata mwezi wenye likizo ,sikukuu na ni mwezi wa starehe zaidi kuliko miezi yote katika mwaka (December) . Ni mwezi wa matumizi. Halafu unafuata mwezi wa majanga (January). January ni mwezi wa Ada za...
  10. Dr Louis

    Wajameni mnaotupoteza jijini mjue.

    Ila ndiyo hivyo tena tutafanyaje hakuna aliyejuu ya sheria.
  11. Dr Louis

    Usiku mwema

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  12. Dr Louis

    Kwa wana wakike na wakiume tu

    Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa hasahasa nchini Tanzania. *WANAWAKE* 1. Ukiwa...
  13. Dr Louis

    Mgeni mie.

    Hodiiiiiiiiii
Back
Top Bottom