Search results

  1. M

    Maandamano makubwa Ujerumani kupinga uislamu na wahamiaji

    Haya tena. Maandamano mengine makubwa Ujerumani kuwapinga waliondamana kupinga uislam- fuatilia hapa BBC News - Germany Pegida protests: 'Islamisation' rallies denounced . dunia ya wastaarabu ni kuishi pamoja kwa amani na kuheshimiana si kukejeliana. tofauti hazina mwisho
  2. M

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Makamanda tumwagieni management team ya EWURA TUWAJUE. sioni sababu kwanini kada mmoja ayumbishe authority yote. au chini yake kuna vijana wa kazi anawaogopa?
  3. M

    Star TV LIVE: Jicho letu ndani ya Habari

    vyombo vimejitahidi kuripoti habari za Arumeru. Japo kila mwandishi ana "uzalendo" wa aina yake kwa chama anachokipenda. Muhimu tuepuke utamaduni wa kutukanana majukwaani kisha tunaanza kuulinda. Matusi hata ukiyarudia yanabaki matusi na unakuwa umetukana mara ya pili. Mdadisi -DSM
  4. M

    Semina fupi ya mabadiliko 31 march 2012 brajec, mikocheni

    NYOTA NETWORK GROUP PRESENTS: Habits of highly effective people ‘There is no real excellence in all this world which can be separated from the right living’ When 31 Mar, 2012 From 2pm to 4pm Where Brajec International (former Peace of Mind - TPDC compound), Mikocheni Investment TZS...
  5. M

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Ok waswe, tutairusha soft copy ikipatikana. hakuna hata "thinker mmoja" aliyetazama attachment. wengi wao wanabwabwaja tu. if Great thinkers are like this....!!! maliza mwenyewe.
  6. M

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    JUMAPILI HII Maelfu ya WAISLAM wamekutana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuazimia namna nzuri ya kujitatulia matatizo yao yanayosababishwa na walichokiita "mfumo kristo". Mada kuu ilikuwa ni kuzindua kitabu (cover and some pages attached) kinachotoa ushahidi wa madai yao na Pia wamechukua...
  7. M

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    MOhamed, huna haja ya kuwajibu wanaokejeli hoja na wanaokupa 'udini' kabla ya kusoma kwa makini ulichoandika. Hao si great thinkers. wameingia humu kwa bahati mbaya tu ya kuijua teknolojia ya kubonyeza vidole. bravo kaka. uongo utajitenga tu, ni kanuni za kimaumbile.....
  8. M

    KATIBA: Askofu Ruzoka amlima barua Waziri

    kazi kweli kweli, sijui itakuwaje?
  9. M

    Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

    Iran or sudan: After mubarak who n where next?
  10. M

    Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

    tena kama coincidence 'waislam hawa wa madrasa' wanadai juhudi zao ndo zilimng'oa mkoloni na elimu hiyo pungufu ndio iliomsaidia Nyerere kukubali ushauri wao na kuanza kuvaa suruali. yote yanayowakuta ni mfumo kristo. sasa wanataka ukombozi kwa mara ya pili!!!
  11. M

    Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

    Waberoya, The same way Tanzanians blame the government in power. is that what you want to say!?
  12. M

    Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

    Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo laivu wakimtaka Rais Jk awafukuze kazi Mkuu wa mkoa, ma dc wa wilaya zote za kigoma. kwa wale...
  13. M

    Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

    fanya haraka twende! demu macho makavu
  14. M

    Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

    Kama mtu hajui kutofautisha Karimjee hall na Diamond Jubilee sidhani kama anaweza kuwasemea waislam. great thinkers wako makini hata katika kuanzisha thread.!!!!!!
  15. M

    Je, Kikwete ni mdini?

    Jile79 asante kwa takwimu zako. naomba source uliyotumia ambayo imethibitisha waislam ni "wavivu" ndo maana wachache shuleni na hivyohivyo wachache makazini. asante.
  16. M

    Elections 2010 Mnyika mbunge wa ubungo.

    wambieeni t bc wayaweke 'hazarani' haraka, mbona wana sua sua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
  17. M

    Elections 2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

    kwani clouds ina bif na mshindi wa Mbeya mjini?
  18. M

    Siasa na uraia nani alaumiwe?

    Hii sawa na ile kauli ya torati ni dhambi, tufanyeje?
  19. M

    Gharib Bilal ateuliwa mgombea mwenza wa Kikwete 2010

    Hatimaye kumepambazuka na utando kuondoka. Jk kamtaja Dr Bilal kuwa Mgombea mwenza.
  20. M

    Plane crash at Kabuku!

    Nimetumiwa text msg kuwa kuna ndege imeanguka punde na kugonga gari eneo la segera na barabara imefungwa. Wadau mnaombwa kufuatilia news hii ====== UPDATE: It's confirmed, ndege imeanguka eneo hilo (maeneo ya Kabuku) na imeliangukia gari ambalo inahisiwa ni la watalii, mwandishi wetu...
Back
Top Bottom