Gari yangu ina tatizo kama hili la oil kupungua,
Haina changamoto yoyote kwenye speed au nguvu.
Tatizo wakati wa kuiwasha asubh kama itakuwa imekaa siku bila kuiwasha inatoa moshi na pop sound.
Tatizo hili mafundi wamekula hela yangu sana na tatizo bado lipo, nimelikubal !
Ushaur wako mkuu
Gari yangu ina tatizo kama hili la oil kupungua,
Haina changamoto yoyote kwenye speed au nguvu.
Tatizo wakati wa kuiwasha asubh kama itakuwa imekaa siku bila kuiwasha inatoa moshi na pop sound.
Nenda wakala wa misitu TFS lipia gharama za kila mlango au bidhaa yyote ya mbao ni rafiki sana na fuata masharti yao ya kusimama kwa kila geti kwa ukaguz.
Mambo ni rahisi sana
Duuh! Unaweza fikria uko peke yako ila sometime wake zetu n kichefuchefu, sijui huwa wanajijua! Au ndio kichaa chao
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kuhusu hasara za solar kwenye kununua bettery mara kwa mara hii hutokana na kutokupata fundi mtaalamu wa solar au kuto kuzingatia masaa/ idadi ya vifaa ya umeme yaani umeme wa solar ni wa mahesabu kama kununua luku, ukiongeza vifaa au kuwasha hovyohovyo hivyo hivyo luku juu na kinyume chake...
Si shauri hivyo mkuu kutumia bomba moja la kupitisha nyaya za umeme tanesco na solar pamoja, weka tofauti kuepuka leakage/short cct.
Kama uko vizur tumia inverter kubadili aina ya umeme au Two wiring kwa nyumba za wapangaji
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mfumo wa solar ni pesa yako tu kila kitu unaweza unganisha,
Ila vitu vinavyotumia umeme mkubwa kama pasi,jiko huongeza gharama za solar upande wa battery, solar, inverter na charger controller,
Lakini kwa mfumo rahisi unaweka uthibiti wasitumie hivyo vitu pindi unapotumia solar
Sent from my...
Kwa sasa,kulingana na mambo ya mgao wa umeme, kuwa na mfumo wa solar ni muhimu sana.
Mfumo wa solar utatumia hiyohiyo wiring kwa mtu mwenye uwezo kwa kuweka inverter na change over switch ili kubadili tanesco/solar, vyote hivyo vitahitaji distribution network mapema ikiwa ni sehemu ya...
Daaa! Umenikumbusha kitu ambacho baba alikfanya nikiwa mdogo nilishangaa sana kwa kipindi hicho, kwa nn anafanya hii kazi !!
Leo hii kile kitu kimenijenga ktk fikra. Wakati ninafanya hiyo kazi nilimweleza mke wangu hii kazi baba aliwahi fanya kumbe ni kwa masilahi ya ustawi wa afya ya watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.