Search results

  1. Eraldius

    Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  2. Eraldius

    Jeshi la Polisi, hii huduma ya Loss Report sasa imekuwa kero

    Tatizo linaonekana pia kwenye picha niliyoambatanisha. Unawezajiuliza walikusudia nini kuleta hii huduma ambayo sasa badala ya kumrahisishia mwananchi huduma imekuwa kikwazo mwananchi kupata huduma. Iko hivi, baada ya kupotelewa na mali zako kama simu zamani tulienda polis then ukishariport...
  3. Eraldius

    Balozi Hamis Kagasheki: Kagasheki: Mwalimu Nyerere alikataa kuitwa Mtukufu, Daktari wala Profesa, alitaka aitwe Mwalimu

    Kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika Balozi Hamis Kagasheki; Nakumbuka baada ya kupata uhuru 1961, baadhi ya viongozi waliona ni adabu kumuita kiongozi wa wakati huo kama "Mtukufu" na vyeo vingine. Aliposikia alikuwa mkali mno. Alisema mbali na utambulishi wa nyadhfa zake ie Rais au...
  4. Eraldius

    Msaada: Nina tatizo la allergies ya material ya mavazi

    Habari wanajanvi, Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mwili kila nikivaa viatu vya raba pia nguo zozote zisizokuwa za cotton. Nasikia maumivu makali, napata ganzi mwili mzima. Ila nikivaa cotton na viatu tofauti na raba sipatwi na hiyo hali na ikiwepo ni kwa uchache sana. Naomba msaada kama...
  5. Eraldius

    Kwahaya makato Vodacom M-pesa nikurudisaha nyuma kiuchumi

    Hivi nyie @VodacomTanzania haya ni makato ya asilimia ngapi? 6JD1lXXXXX Imethibitishwa tarehe 13/10/19 saa 12:XX PM Pokea kiasi cha Tsh9,000.00 kutoka kwa XXXX - XXXXX kwa ada ya Tsh1,000.00. Salio lako jipya la M-Pesa ni. Imagine katika Watanzania 100 wanafanya miamala yakiasi hiki kwa...
  6. Eraldius

    Simu yangu nahisi inaingiliwa

    Wanabodi habari zakutwa. Kama kichwa kinavyojieleza kwawiki nzima simu zangu zinavyoingia ndivyo nikifika nyumbani mkewangu anavyo nipa taarifa na kulalamikia maongezi yangu akinilaumu. Nimevumilia ila sasa naona huu utakuwa ni mchezo. Ushauri wenu kama kwenye kampuni ya simu ya mtandao ninao...
  7. Eraldius

    Msaada wenu Wataalam au kama aliwahi kutibiwa na ukapona, ushauri wako utasaidia

    Wasalaamu ndugu. Poleni na mihangaiko ya kila mara. Binafsi siumwi, ila rafiki yangu anaumwa sana kama nitakavyoelezea hapa chini. NOTE; Pamoja na kuumwa kwake huku kama hajakwambia huwezi jua kama anaumwa, sababu anatembea ni mzima kama wewe msomaji ulivyo hapo ukimuangalia kwa macho. Ila...
  8. Eraldius

    Leseni ya export

    Asalaam Kama kichwa kinavosema. mwenyeufahamu au ambaye tayari amepata hii leseni ya usafirishaji bidhaa mbalimbali kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki, naomba anisaidie kufahamu hatua zakufuata na gharama zake mpaka naimiliki. Nitashukuru kwa michango yenu
  9. Eraldius

    Paza sauti yako kutoa taarifa za hali ya maisha eneo uliopo

    Paza sauti okoa watu wako [emoji120] MAWAZO YANGU LEO TAR:14/01/2017 Nimekuwa nanyi katika jukwaa hili kwa kipindi sasa tukishirikiana katika mijadala mbali mbali lakini haya yote yakiendelea nimeona nivema kupitia ninyi niwashirikishe nilichowaza na nilichojifunza katika miangaiko ya...
  10. Eraldius

    Apps zingine utumika kudukua mawasiliano?

    Wadau tushirikishane mawazo katika hili. Nimekutana nalo katika matumizi ya App moja ikaweza kunionesha matumizi ya kila Application niliyoinstall katika simu yangu na ikaweza kunionyesha kila moja na shughuli yake. Sasa lakushangaza App moja pendwa ikaonekana ndiyo inatumika na udukuzi. Sasa...
  11. Eraldius

    HALOTEL nao waanza kufata nyayo za watangulizi wao

    Kwa mbwembwe zilezile walizokuja nazo Voda,Tigo Aiter zakuwahadaa wateja wao na vifurushi vya speed ya hajabu bila kikomo na wakaishia walikokujua wao. Sasa kwamwendo uleule Halotel nao zikiwa zimebaki siku Tano ukamilike mwezi mmoja toka wamezindua mtandao huu October 15,2015 walikuja na maneno...
  12. Eraldius

    FastJet nao waanza kutoa online booking kwa Dollar

    Wana jamvi, Katika muendelezo wa kuzidi kufanya ghalama za maisha ya kila siku kuwa mbaya, kampuni ya FastJet ambayo kwamuda sasa ilionekana kuwa mkombozi wa wanyonge katika kuhudumia sekta ya usafiri wa anga ambao kwa kipindi kirefu kabla ya ujio wa Fastjet ulikuwa usafiri wa bei ghali. Sasa...
  13. Eraldius

    Nitazitambuaje Samsung galaxy NOTE II fake

    Nimekuwa na uzoefu wa muda mrefu katika kuzijua Simu fake na Genuine. Ila Samsung galaxy NOTE II Gt_7108 Imentoa jasho, kila kitu unachojua kuhusiana na Original inacho Msaada kama kuna unachojua kuhusu hii simu. Na nimejaribu kuigoogle na kujiridhisha specs za Genuine bado nimegundua hichi...
  14. Eraldius

    Kwa speed hii sihitaji tena modem katika mambo madogo

    nikiwa natumia simu yangu . pamoja na uwezo mdogo na wa simu, Hapa chin I ni screen short ya downloading speed katika simu yangu
  15. Eraldius

    AUDIO: Mh.Sugu,ZZ Kabwe na Tundu Lisu walivyochangia tar.16.04.2014

    Audio clip jinsi wabunge waliohitwa wachache lakini michango yao ikiwa mikubwa.
  16. Eraldius

    Hivi ndivyo Tundu Lisu Alivyowasilisha jana .

    audio clip
  17. Eraldius

    Mh.Tistus Kamani( Naibu Waziri mteule) hii ni haibu kwako na CCM pia.

    Wakati CCM leo katika jimbo la Busega wakiandaa mkutano wao wa kumpokea kwa mbwembwe kwa kuteuliwa kuwa waziri, vivyo pia , bila kujua wananchi wa nyashimo nao hawako tayari kwa hizo mbwembwe. katika picha ndivyo alivyopokelewa na wananchi
  18. Eraldius

    Error katika ku-restore iPhone 3gs "could not be restored. An unknown error occurred(1015)"

    The iPhone "iPhone" could not be restored. An unknown errorleo nimekumbwa na tatizo hilo hapo,wakati nikitaka kurestore iphone yangu. msaada ambaye amewahi kukumbwa tatizo hii.
  19. Eraldius

    internet banking & paypal msaada kabla sijaanza matumizi

    kesho natarajia kufungua account crdb lengo likiwa niweze kununua sofware na unlock code.Vipi mlotangulia kutumia internet banking na paypal sitapata maumivu? Msaada jamani.
  20. Eraldius

    msaada ku-unlock hii Tablet

    ni Huawei inatumia laini moja ya zantel, sasa nifanyeje niweze kutumia laini zote? Model:s7-301u Help please.
Back
Top Bottom