Search results

  1. P

    Qatar: Nchi inayomiliki rasilimali zake

    WANASEMA ni nchi ya mfalme na mwanawe. Hawapotezi muda kwenye malumbano ya siasa! QATAR ilipata uhuru mwaka 1971 kutoka kwa mwingereza. Ni nchi inayoongozwa na mfalme. Kumbe mambo yasipoenda hata mfalme hutumbuliwa. Alianza Ahmad Al Thani baada ya uhuru. Mwaka 1972 alipinduliwa na mjomba wake...
  2. P

    KINYUME CHA MAUMBILE NI NINI?

    Walichoshtakiwa hawa vijana waliolawitiana kwenye mahakama nzuri na wanasheria wazuri hakuna kesi hapo. Kwani walitoboa tundu mpya? Ile tundu ni maumbile. Wawashitaki kuingiliana kinyume na utaratibu. Mpaka wakibadilisha vitabu vya sheria jamaa wamesevu. Ubora wa wanasiasa na watunga sheria...
  3. P

    Historia ya vituo vya kujaza mafuta

    Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo. Kwa Marekani vituo vya aina hii siku hizi unaweza kukutana navyo kwenye vituo vya mafuta vya nje ya miji. Sehemu...
  4. P

    Taa za Barabarani Zinaongeza Ulinzi Usiku

    Miji ya nchi zilizoendelea ina polisi wa patrol za magari usiku. Mitaa ina kamera. Mitaa yao imepangika haina vichochoro na maficho. Watu wanafanya kazi usiku na kuchangamsha miji wakati wa usiku. Kukitokea tukio kuita polisi, zimamoto au ambulensi ni dakika sifuri. Wakazi wanajilinda kwa silaha...
  5. P

    Trump vs Kim nani kichaa zaidi?

    Kim: nina swichi ya nyuklia mezani kwangu. Trump: swichi yangu kubwa zaidi.
  6. P

    Uwiano wa wabunge bungeni

    Wanasema wengi wape! Miswada na mapendekezo bungeni huamuliwa kwa kura za wabunge. Chama kikiwa na asilimia 51 au zaidi na rais akitoka kwenye chama hicho. Hicho chama kiko madarakani na sera zake zitapita kirahisi. Chama kikiwa na asilimia 51 au zaidi lakini rais akiwa ni wa chama kingine...
  7. P

    Naitakia Tanzania mwaka mpya wa maendeleo

    Mwaka mpya umeanza. Mungu ibariki Tanzania. Machungu ya bomoa bomoa yasahaulika kwa miradi ya maendeleo kama hii: Ewe Mungu jaalia bombadier zetu zije kwa wingi na zipate ufanisi mkubwa kama za Ethiopia. Mungu jaalia na hili treni ambalo hata Marekani sijaliona lifike Tanzania mwaka huu...
  8. P

    Mishahara ya wabunge itathminiwe upya

    Kwanza niseme mimi sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila ni mkereketwa wa bendera ya Tanzania. Hakuna kitu kinanikera kama tabia ya wabunge kusimamia ya vyama vyao na kusahau ya taifa. Kuna wabunge wazuri sana wa kupinga ufisadi. Lakini hutawasikia wakimzogoa fisadi kama yuko kwenye chama...
  9. P

    Fashion mpya hiyo

    Aya katalogi hilo igeni basi
  10. P

    Tuwatunzeni Wazee Wetu

    Ujumbe wa krismas kwenu tuache kuuwa vizee kwa madai ya kuwa ni vichawi. Tuwape matunzo mema kama wenzetu wa Ulaya. Yaani mpaka raha. Wazee wana nyumba zao kama zionekanavyo pichani. Hapo hupati nyumba kama hujafikisha miaka 55. Wana sehemu za kuogelea, kufanyia mazoezi, kula, nyumba za kulala...
  11. P

    VIVA CHRISTMAS

  12. P

    TRUMP BEUTIFICATION

    If rich people make more money their businesses are going to expand and that is good for the working class. There are going to be more jobs and that's what democrats don't want. They want people to be unemployed and on welfare to get their votes. Dems dont care about anybody but themselves...
  13. P

    Ruzuku ni nini?

    Hiki kitu nakisikia sikia ila sijakielewa. Vyama vya siasa hupewa ruzuku kuendesha vyama vyao. Ili chama kipate ruzuku kuna vigezo gani vinatumika? Na katika nchi vyama vya siasa vinavyopewa ruzuku vinatakiwa visizidi vingapi? Na hii ruzuku inatolewa kwa mwezi au kwa mwaka? Ni shilingi ngapi na...
  14. P

    Jinsi nchi masikini zinavyotajirisha nchi tajiri

    Mwaka 2012 nchi zinazoendelea zilipokea dola trilion 1.3 za misaada, vitega uchumi. Lakini mwaka huo huo nchi hizo zilitoa dola trilioni 3.3 kwenda kwenye nchi zilizoendelea. Kwa maana nyingine nchi masikini zilizipa nchi tajiri dola trilion 2 kwa mwaka huo. Kuanzia mwaka 1980 kiasi cha dola...
  15. P

    Dubai Miaka 20 Iliyopita

    Dubai mwaka 1990 Mtaa huo huo mwaka 2003 Mtaa huo huo mwaka 2007 Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki Na hiki Na hiki Na hiki Na treni lisilo na dereva Si London, si Paris, si New York. Wote hoi. Jamaa hawana vyama vya siasa vinavyohujumiana. Wananchi wao hawana ushabiki wa...
  16. P

    Dar Kuna Vituo Vingapi vya Zimamoto?

    Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.
  17. P

    Tanzania ni moja ya nchi chache zenye hali ya hewa nzuri duniani

    “Dar es Salaam: Annual Weather Averages. January is the hottest month in Dar es Salaam with an average temperature of 27°C (81°F) and the coldest is July at 23°C (73°F) with the most daily sunshine hours at 10 in September. January ndio mwezi wa joto zaidi. Wastani wa joto la mwezi huo ni nyuzi...
  18. P

    TANZANIA MOJA YA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE HALI YA HEWA NZURI SANA

    “Dar es Salaam: Annual Weather Averages. January is the hottest month in Dar es Salaam with an average temperature of 27°C (81°F) and the coldest is July at 23°C (73°F) with the most daily sunshine hours at 10 in September. January ndio mwezi wa joto zaidi. Wastani wa joto la mwezi huo ni nyuzi...
Back
Top Bottom