WANASEMA ni nchi ya mfalme na mwanawe. Hawapotezi muda kwenye malumbano ya siasa!
QATAR ilipata uhuru mwaka 1971 kutoka kwa mwingereza. Ni nchi inayoongozwa na mfalme. Kumbe mambo yasipoenda hata mfalme hutumbuliwa. Alianza Ahmad Al Thani baada ya uhuru. Mwaka 1972 alipinduliwa na mjomba wake...
Walichoshtakiwa hawa vijana waliolawitiana kwenye mahakama nzuri na wanasheria wazuri hakuna kesi hapo.
Kwani walitoboa tundu mpya? Ile tundu ni maumbile. Wawashitaki kuingiliana kinyume na utaratibu. Mpaka wakibadilisha vitabu vya sheria jamaa wamesevu.
Ubora wa wanasiasa na watunga sheria...
Acha ndege hata biashara ya kukodisha baiskeli ukininua baiskeli mpya kadhaa utaanza na hasara. Acheni chuki zenu za kichama. Magufuli anafanya ya maana. Wakati mihela ilipokuwa inaibiwa kwenye skendo baada skendo hamkutangaza serikali imepata hasara.
Umewasilisha chuki na ujinga mtupu. Nani kakupa madaraka ya kuhukumu watanzania wote waliopo nje? Kwanza kuna viongozi wa upinzani wanaokuja huku nje kupandikiza chuki za kisiasa za Tanzania huku nje. Na ndio walio nyuma ya hayo maandamano unayoyasema.
Kituo cha kwanza mafuta kilianzia hapo nchini Marekani katika jimbo la Indiana mwaka 1880. Jamaa alikuwa anaitwa Sylvanus Freelove. Yeye alikuwa anauza mafuta ya taa kwa kutumia hizo pampu za kijima zenye kijisaa juu ndio mita ya pump.
Bei inatangazwa kwa maandishi makubwa.
Kwenye pump hakuna muhudumu. Ukitaka kulipa keshi unaingia ndani ya kituo unalipa kwa keshia.
Ni hivyo hakuna mwenye boda boda atakaejaziwa mafuta uliyonunuwa kwa wizi. Na pump ikizingua utajua haraka sana.
Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.
Kwa Marekani vituo vya aina hii siku hizi unaweza kukutana navyo kwenye vituo vya mafuta vya nje ya miji. Sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.