Search results

  1. mmmuhumba

    Mambo ya kumuaminisha mwenza/mpenzio unapendeka ukiwa umetoka kusamehewa

    1. Kumpa uhuru wa kuwasiliana nawe. Wengi wapenzi upima na kuyafurahia upya mahusiano yao kwa kuona nafasi aliyonayo kimawasiliano na mpenzie au mwenza waliotoka kukosana na kuombana msamaha. Ikiwa bado suala la mawasiliano ni la kutafuta kwa tochi, mambo kama lawana, kuonesha dharau na...
  2. mmmuhumba

    Nini huwa sababu ya Penzi kuisha ghafla ama kuwa chungu?

    Mapenzi uumiza, ushawahi jiuliza inakuwaje amani imetawala, bata unazila, mapenzi yamenoga alafu ghafla mpenzio/mwenza wako anakuambia "mimi na wewe basi". Zipo sababu za kujifunza kuyaepuka haya na pia kuwa tayari kuyapokea mapya usiyo yatarajia kwenye mapenzi. 1. Uoga wa maisha. Mpenzi/...
  3. mmmuhumba

    Namna gani unaweza mdhalilisha mpenzio au mwenza wako bila kujua

    1. Kutumia lugha asiyoijua Ni hadhi mtu kutumia lugha fulani kuonyesha wewe ni msomi, mjuaji au umetembea, lakini ni mbaya kwa mpenzio ambaye hana maarifa hayo, uona kama umedharau na kumkejeli. Tumia lugha ya kueleweka ili uonyeshe wewe na yeye ni wamoja na unakusudi zuri kwake kwa...
  4. mmmuhumba

    Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

    Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara. Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto, kwamba mwanamke anaitwa na mwanaume wake na washagombana sana kwa mmoja, kuona mwenzie kama hana mapenzi...
  5. mmmuhumba

    Unakubali kuolewa halafu utaki kumzalia mwanaume aliyekuoa

    Ni tatizo kwa mwanamke au msichana kufanya maamuzi ya kukubali kuolewa kwa shangwe lakini akiwa ndani ya ndoa yake anakuwa hayuko radhi kubeba mimba ya mwanaume. Tutajifunza kuwa muelekeo wa mapenzi kwa sasa uzingatia mambo mawili na yote ni ya msingi kwa maisha ya mtu: 1. Kufuata Hisia 2...
  6. mmmuhumba

    Ujumbe kwa wanaume wote Siku ya Wanawake Duniani

    Mwanamke ni mwenye ndoto, mwanamke ni mlezi na mwenye moyo wa kusaidia, mwanaume kuzibeba ndoto za mwanamke wako ni heshima. Mahusiano na ndoa havipaswi kuwa ni kaburi la ndoto za mwanamke. Tutajifunza, wanawake hufanya chochote kwa mwanaume ampendaye na kikubwa ni kuishi kama moto, kuacha...
  7. mmmuhumba

    Mambo 10 kuzingatia ili mpenzi wako aanimi kuwa unampenda kwa Malengo

    1. Kumpa uhuru wa kuhoji na kukushauri katika maisha yako. Asiwe kama mlinzi wa getini, kila kitu ni honi na muda wa kujua sasa ni saa 6 natakiwa kwenda kula na chochote akutacho kuta hana haki ya kuhoji ni kula ama aache. Mpenzi mwenye kupewa uhuru wa kuhoji na kushauri huwa na imani ya leo na...
  8. mmmuhumba

    Mnogeshe umpendae na "mmmuhumba"

    Naitwa martin michael muhumba a.k.a mmmuhumba. Ni mwandishi mjasiriamali wa tawasifu, makala za mahusiano, mtunzi wa ujumbe kwa mpenzi (love sms), mshauri wa mahusiano na mtoa elimu ya mahusiano. Pia ni mwandishi wa simulizi na mtunzi wa nyimbo. Media yangu kufanya kazi ni gazeti la Mwangaza...
  9. mmmuhumba

    Kusaini kitabu cha gesti kilivyovuruga siku yangu ya valentine

    Mkasa wa kwanza 1.Tukiwa wote mapokezi, tulipewa kitabu tuandike majina, lakini mpenzi wangu akakataa, akataka mimi ndiyo niandike tu. Nami nikakataa, nikiwa na hofu, kwanini yeye hataki kuandika kwani yeye si ndiyo mwanaume wangu na ndiyo kanileta na ndiye atayelala!. Tumezozana, mwisho eti...
  10. mmmuhumba

    MAKOSA YANGU MZIGO WANGU (simulizi) seh 01.

    Ni bora nijuue kuliko haya yatayo nifika, nitakufa kikatili na kupoteza kila kitu nilichokipigania kwa jasho na vitisho ( Vera aliongea na moyo wake akiwa kwenye basi akitokea wilaya ya handeni kuelekea nyumbani kwake makorora mtaa wa Gatundu). Wakati huu siyo wa kupoteza bora nikalipe na...
  11. mmmuhumba

    Yasome Maneno ya nguvu juu ya mapenzi na maisha (3)

    1. Maneno ni mengi, kila mtu huwa na mazoea yake na namna anavyoishi na watu, siyo wote watakuona sawa unaposimama au kuzungumza na jinsia nyingine, mawazo ya mtu uweza kuwa tuhuma na shtaka kwa umpendaye. Wanga wa mapenzi, ni fungu baya, yeye akifanya ni sawa ila wengine ni kosa, ni rahisi...
  12. mmmuhumba

    Nini unaweza kufanya ili mwanaume atimize ahadi alizokupa?

    1. Msimamo Kuonyesha upo naye kwenye wakati wote iwe kwenye shida na raha, kwenye changamoto zake na zako. Kuacha ile tabia ya pale unapokuwa unahitaji kitu toka kwake unakuwa mpole ila ukishapata basi umemaliza mjuaji ni wewe. Kuonyesha huna tamaa za kutaka kila mwanaume na kila kitu uwe wewe...
  13. mmmuhumba

    Mambo 10 unayoweza kufanya kumlinda mpenzi wako badala ya kumchunga

    1. Kuwa na mipaka na mambo yako ya pembeni Acha kuishi kama msela ikiwa unaye mpenzi au mwenza, unapokuwa bado na mambo ya kama uko pekeako unapaswa kutambua unachokifanya pipoas kumuumiza uliyenaye. Kulimwaga chozi la mpenzi au mwenza kwa makusudi ni kosa, ni kukosa kumlinda. 2. Kukumbuka...
  14. mmmuhumba

    Mambo matano (5) ya kufanya ukiwa faragha kumdatisha mpenzi

    1. Kuwa na vitu vyenye kuwapa muda wa kuweka sawa fikra zenu ziiungane. Epuka kuwa faragha na mwanamke au mwanaume wako lakini hisia zenu hazikutani. Kama pipi, vinywaji, maneno matamu, Kukaribiana zero distance, kuchezeana hapa na pale,nk. Mbaya kuwa faragha baada ya mapenzi ya ushirikiano...
  15. mmmuhumba

    Jinsi tabia ya kujibu kwa mkato meseji au unapopigiwa simu inavyoboa

    Hivi huwa ni hulka au mbwembwe tu, kwamba mpenzi au mwenza wako anakutumia ujumbe alafu unamjibu kwa mkato kama vile humjui au utaki akutafute. Hata kama ni salamu, taarifa ama chochote wewe unakuwa ni wa mkato na kukausha. Kila siku unataka yeye ndiyo awe kwa kwanza kukutafuta wewe na majibu...
  16. mmmuhumba

    KUACHWA /KUTENDWA SIYO MWISHO WA KUKOSA KUONA KILICHO SAHIHI KWAKO

    Unapoyaanza maisha yako baada ya kutendwa/kuachwa, huwa ni wewe utayebeba matokeo yoyote yale ya kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii. Unapokuwa peke yako unapambana na upweke, unapambana na mazoea na unapambana na majuto. Ni maamuzi ya kihisia, mtu unapokuwa mgumu kuukubali ukweli, kwamba...
  17. mmmuhumba

    Amenihonga simu, kisa nimekataa kumrudishia simu yake ameenda kuniroga

    Ni mambo ya ajabu, kuwa na mahusiano na mtu asiyekuwa na moyo wa kutoa, anayetoa na mnapogombana ama kupishana anadai vitu vyake. Kuna msichana alimpa mwanaume simu, baada ya mwanaume simu yake kubwa kuharibika. Lakini kwa muda hawakuweza kuonana na ndipo mwanamke alipowaza ni bora achukue simu...
  18. mmmuhumba

    Pisi kali alafu mwenzio anainyanyasa sijui nimchukue

    Jamani kweli uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu, yaani unakuta mwanaume mwenzio ana mchuchu mkali yaani pisi kali ile mbaya laa ajabu anamnyanyasa ile mbaya. Dah! Alafu mchuchu unamtokea anakwambia nina mtu eti nmechelewa. Sasa kwa mateso yote anamtu ana futu. Dah! Sio poa kabisa, jamani...
  19. mmmuhumba

    Ili uwe na mapenzi yenye raha bila msongo wa mawazo fanya haya

    1. Mtambue uliyenaye hulka zake na tabia zake Usipomtambua mwanaume au mwanamke wako, itaiupa shida kujua nini anapenda, nini apendi au anapenda, tabia zake mbaya na nzuri, udhaifu wake. Hii itakujenga kujua unaishi na zimwi likujualo haliwezi kula ukaisha utakufanya ujue unaishi na mtu siyo...
  20. mmmuhumba

    Kulalamika mno bila kijiongeza humpoteza uliyenaye/unayemtarajia

    Kwenye mahusiano ni haki kila mpenzi kuzungumza aonacho hakipo sawa katika upande wa mwenziye. Wapo wasiojua kuzungumza badala yake huwa ni watu kulalamika, kila siku ni watu wakulalamikiana juu ya hili na lile. Sauti ya mwanamke au mwanaume huwa ni ya malalamiko kuona, kuhisi na kuishi kama...
Back
Top Bottom