Search results

  1. Chuck j

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Mtume akatimize but nguzo Mtume mwenyewe alifanya kazi kwa nguvu Mti
  2. Chuck j

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Ni nyingi kiasi chake,,,anaslimu gani? By the way watanzania wengi ndiyo tulivyo,,tukiwa wahitaji utatupenda,,tukishapata huamini kabisa tunapokuwa,
  3. Chuck j

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Haiwezekani mkuu,, Uzalishaji wa umeme unaenda sambamba na kutuza viumbe hai walioko mtoni na pembezoni mwa mto,,so ukiyazuia kabisa utawaua
  4. Chuck j

    Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Ebu tueleze FBI inafanyaje kazi na imetobolewa wapi? CID inafanyaje kazi na imetobolewa wapi? Ukijibu Hilo ndo tutajua hapo
  5. Chuck j

    Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Hilo ndilo tatizo letu,,,angekuwa mzungu tungesema Yuko right,,,,,ivi mnafikiri kajiokotea tuu? Kafanya utafiti na kwa taarifa yenu hicjo kitabu kimeandaliwa ndani ya miaka 7 mpk 10 Mnaopinga mnawapotosha watu ili wasijue mifumo yetu na ya dunia ya ulinzi na usalama
  6. Chuck j

    Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Hapo naona hujamuelewa,,, Kasome kitabu alichokuelezea ndo utajua,,hapa katoa robo au introduction tuu
  7. Chuck j

    Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
  8. Chuck j

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Shida ni Nini? Wewe ni Yesu unaehoji? Wewe ni Mungu unataka kujua au?
  9. Chuck j

    Trump: China walikuwa wanadanganya Takwimu

    Hahaaaaa na walivyo wengi we acha
  10. Chuck j

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nataka kujua ukilipia 2000 unatumia Kwa Siku ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Chuck j

    Vodacom Tanzania ni wezi

    Ni wezi kabisa Mimi nilikopa nikanunua handle,chakushangaza limeisha hats sijalitumia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Chuck j

    Natafuta shareholder katika biashara ya chakula

    Nipo tayari nipm Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chuck j

    Natafuta shareholder katika biashara ya chakula

    Nipo dar kama upon tayari no pm Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Chuck j

    Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

    In mzigo ndo maana tunapenda ili tuubebe Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Chuck j

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Asante kwa ushauri,mkuu mimi nataka kufungua maeneo ya kimara mwisho najishauri shauri hapa
Back
Top Bottom