Search results

  1. fineboy

    Wenge ya Jay Melody: Muziki mzuri wa msanii mdogo

    Nasema haya baada ya siku mbili hivi kutoka kwa ngoma kali sana za wasanii wachanga ama unaweza kuwaita wadogo, wasaniii wenye uwezo halisi wa kutengeneza muziki na mashairi yalioshiba. Wanaopenda muziki mzuri najua mtaelewa nachosema. Siku kama mbili zimepitaa msanii "JAY MELODY" ametoa ngoma...
  2. fineboy

    Kipaji na umahiri wa msanii Marioo wazidi kujiuzaa

    Mariooo ni miongoni mwa vipaji vipya vyenye potential ya kutosha ndani ya Bongoland, kijana huyo mwenye kipaji cha hali ya juuu aendelee kupasuaa mawimbi ya soko la Bongofleva baaada ya hapo jana kuanzia kibao chake kipya kiendacho kwa jina la ANYANYI.... Licha LA soko la muziki Tanzania kuwa na...
Back
Top Bottom