Search results

  1. Voice of Voices

    Safari ya kagera yaishia moro

    Gari la Falcon lenye number za usajili T847BGU linalofanya safari zake nchini Tanzania na Uganda kwa kupita mkoani Kagera ambalo limeanza safari jana alfajiri na katika majira ya saa nne asubuhi liliharibika katka eneo la MSAMVU mkoani Mogoro na mpaka naandika habari abiria hao walikuwa...
  2. Voice of Voices

    Hivi watanzania tumerogwa?

    Ebu tunaone tunavyo lalamika maisha magumu, magumu CCM haijafanya kitu tunasema, lakini ikifika 2015, tukapewa tisheti na kanga za kijani tunasahu yote, hivi tunataka nini lakini? Sio siri kuna haja ya kuwa makini sana katika uchaguzi mkuu ujao sivyo tutalia na kusaga,sio katika kuchagu...
  3. Voice of Voices

    Vikongwe wanane wafanyiwa ukatili, wawili wafariki

    Baada ya mauaji ya kutisha kwa watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) yaliyoshika kazi zaidi katika kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2008sasa vitendo vya kikatili kama hivyo vimeamia kwa vikongwe Mkoani Kagera. Takribani vikongwe wanane wanawake wamefanyiwa ukatili wa kinyama na wawili katiyao...
  4. Voice of Voices

    Kuna siri nzito kwenye Deni la Taifa

    Du nakushukuru sana kwa kukokotoa hesabu hizo, ukizingatia wengine hapa hebu alikuwa baba mkwe,ila ukweli ni kwamba mimi huo mshiko sijatumia hata kidogo, ila wakati ukifika pale nitakapo choka na wananchi wengine wakawa wamechoka ndipo tutafukua zilipowekwa tena wahusika wakilambwa mboko wewe wait.
  5. Voice of Voices

    Kulikoni mbona kuja tz hakuishi?

    Jamani wanaJF wenzangu kilikoni mbona Rais Bush tena kwetu?tena naona kipindi hiki kaja kimya kimya,angalieni ardhi zinauzwa sasa tusije tukauzwa na sisi wenyewe.
  6. Voice of Voices

    Umri wake halisi

    Mambo mengine ni kukosa kazi ya kufanya sasa hiyo yote ni ya nini ndugu yangu, mwacheni jamani upumzike kwa amani,sio vizuri
  7. Voice of Voices

    Najitolea kuwa wakili wa Lulu

    Hilo ni swali gani sasa ulikuwepo wakati anamuua au ndio nyie mnao sikia radio mbao,mimi sikuwepo ndio maana siwezi kumuhukumu mtu,Kifo cha Kanumba kinaniuma lakini pia namuonea huruma Lulu maana uenda sio kweli alimuua
  8. Voice of Voices

    Najitolea kuwa wakili wa Lulu

    Jamani kwa nini majibu haya lakini, ebu JF tusipafanye pa walevi na watu wasiojua cha kufanya, nafikili huyu anahitaji mchango wako wa mawazo kama hauna cha kusema basi si lazima uchangie, "yake tamu sana" nini?
  9. Voice of Voices

    Hivi kwanini wasichana wanawahi kusex kuliko wavulana?

    Jamani ebu tuache kuwasingizia wanaume,kwani mbona mabibi zetu hawakuwa hivyo, basi tu dunia imeharibika lakini pia kwa sasa wazazi hawatumii vizuri nafasi zao kama wazazi eti wapo busy na mambo yao wanaacha watoto wanafanya wanavyotaka, akini pia uzungu umetawala sana.
  10. Voice of Voices

    Tunataka rais muuza mandazi

    Nafasi ya Rais Joyce Banda wa Malawi inanifanya niwaze mengi ambayo niliyawaze mengi na pengi kuibia yale niyokiuwa nimeanza kuyasahau, Siku zote ninawaza kuwa Marais wetu w kitanzania ni watu waliotoka katika familianzuri hivyo ni vigumu kuwakumbuka wanyonge maanahawajui shida nini, wameishi...
  11. Voice of Voices

    Serikali acheni midhaa na maisha ya watu

    Serikali kupitia Waziri wetu mkuu Bwana Mizengo Pinda inasema imejipanga vyema kuhudumia jamii katika mgomo wa madaktari,hivi mwanzoni mbona watu walipoteza maisha ina maana mlikuwa hamja jipanga au? Pia hii kauli ya kusema " wao kama watanzania kwa taaluma na miiko yao sitegemei kuwaona...
  12. Voice of Voices

    Namba za wakuu wa police wa mikoa katika magari yaendayo mikoani

    Naona watanzania wamefurahi sana kuona hatua zinazochukuliwa katika kukabiliana na ajali barabarani, mimi pia ni mmoja wa watanzania lakini nina uwalakini na namba hizo. Hofu yangu ni kuwa tuwije kuishia kuwa namba bila huduma,nikimanisha aidha ukapiga namba inaita lakini haipokelewi au...
  13. Voice of Voices

    Tuliowapa dhamana acheni kulala jamani watanzania Tunaisha

    ni lini Tanzania itaweza kukabiliana na majanga?,tuliowapa dhamana mko wapi wakati hayo yote yakitokea,uzembe wenu unatumaliza watanzania,sioni tofauti na nchi inayoweza kuwapa wananchi wake sumu ili wafe. Basi jamani mmeshindwa kukagua vyombo vya usafiri, najua pia mnakula karibu na wamiliki...
  14. Voice of Voices

    Chanzo cha kushuka kwa elimu ni lugha

    Ndugu husifikirie unashambuliwa, lakini nafikiri labda ungezungumzia umuhimu wa lugha ya Kiingereza kutiliwa mkazo ili kuongeza kiwango cha elimu hapa nchini, hapa namaniisha anayejua kiingereza hauwezi kulinganisha na asiyejua kabisa. sasa tukisema tukiache kudhungu kabisa itatupashida katika...
  15. Voice of Voices

    Uchama

    jamani Watanzania wenzangu ebu fumbuka macho na akili zetu, ona uko Mtwara mwanamke anapigwa na mmewake kwa ajili tu amepata msaada, hali ambayo mwanaume kwa ufahamu wake mdogo na kwa kuwa yeye yupo CUF inaonekana ni chama cha CCM na mbinu zake za kuwateka wananchi kupitia kuwapa msaada. Kusema...
  16. Voice of Voices

    bora nchi yenye uhuru wa habari

    Ukweli ni kwamba kuna umhim sana kuwa na uhuru wa vyombo vya habari ingawaje kwa Tanzania naweza kusema kuwa hakuna kabisa kutokana na vitendo ambayo waandishi wa habari wamekuwa wakifanyiwa.Kwanza mwandishi amekuwa adui wa kila kiongozi wa siasa, Hapa naomba unielewe vizuri nikisema amekuwa...
  17. Voice of Voices

    The Radar Scam: Chenge & Rashid...

    Shiling katika mshahara wa Waziri wa Utumishi Hawa Gasia Haikutoka, Lakini Tatizo la serikali la kutomshitaki Chenge na Dokta Idris Rashid Ambao kwa mjibu wa barua ya mkuu wa Serious Fraud Office ( SFO ) iliyotumwa kwa mwansheria mkuu wa serikali ya Tanzania katka Ununuzi wa Rada.Je watanzania...
  18. Voice of Voices

    Kamata kamata ya Mateja Dar asubuhi ya leo

    By Voice of VOices Ukweli ni kwamba watanzania sisi ni wapole sana, hii wanakamatwa baada ya siku mbili tatizo linarudia na wanawaacha, hii nafkri wanatafuta ulaji tu, Kuna siku mzee Kova alitia msisitizo ju ya kukamatwa kwa mateja wote nilifikili tatizo hilo ndo mwisho lakini wapi, na hii ndo...
  19. Voice of Voices

    Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

    Wote tunajua kuwa jiji la Dar es slaam limekuwa na msongamano mkubwa wa magari,na sasa Serikali inaleta mabasi yaendayo kwa kasi ili kukabiliana na tatizo hilo. Kinacho ni sumbua ni kuwa hii inaweza isiwe njia mbadala, nawaza sana juu ya wizara ambazo zimeweka au zimerundwa Posita na hivyo...
Back
Top Bottom