Search results

  1. Q-liner

    TAKUKURU fuatilieni hii

    Habari. Nikiwa kama mdau kwenye sekta ya Maji Kwa muda mrefu kuna jambo nimeliona halipo sawa. Naomba TAKUKURU Mfuatilie maana wahusika wanajulikana. Ni mazoea kwasababu yanafanywa kila siku lakini kuna muda inafika Athari inakuwa kubwa kwa Taasisi . Kwenye sekta ya Maji kuna upande unaitwa...
  2. Q-liner

    Ukitaka kununua kiwanja hakikisha survivey plan iko approved wizarani

    Ni vema kuitaja Ili watu waweze kuijua Ili mtu asiingie tena kwenye mtego wa matapeli
  3. Q-liner

    Kandarasi nyingi kuchukuliwa na wachina, ni ubora au unafuu wa gharama?

    Rushwa tu hakuna kingine. Nilienda Kigoma nikakuta kuna Mchina anafanya mradi fulani akaniambia sasa tunataka tujipenyeze kwenye wizara fulani ili nako tuwe tunapata miradi. Akaniambia hebu nisaidie kupata watu huko ili nipate miradi. Nikamwambie ujanja huo sina na huko sikujui. Kuna nini...
  4. Q-liner

    Car4Sale Toyota Kluger For Sale

    Imepigwa rangi mjomba ilishawahi pata majanga?
  5. Q-liner

    Mama Sinyali Boss la Kariakoo

    Namjua vizuri sana huyu mama zaidi ya kuuza vipodozi vya haramu ,hana kitu yoyote uyo!! Anawadanganya danganya watu kwenye social media.
  6. Q-liner

    Hawa Waha wanaokopesha vyombo ni wachawi kweli kweli

    Ivi kwanini mtu anakua na roho ya utapeli,kwanini mtu anachukua kitu Cha mtu unajua kabisa sitomlipa. Aisee tubadilike.
  7. Q-liner

    Rais Samia anadanganywa sana Mapinduzi ya Kilimo ya Bashe

    Nafikiri huyu Jamaa humfahamu vizuri, nikwambie tu huyu yeye mwenyewe haamini katika hicho kilimo.
  8. Q-liner

    George Simbachawene ni nani hasa?

    Kukimbia ,ukifanya nae biashara yoyote uwe makini nadhani ushanielewa ana biashara ya magari makubwa uyo ( semi-trailer) Namjua huyu bwana vizuri mno.
  9. Q-liner

    George Simbachawene ni nani hasa?

    Tapeli uyo mkubwa,ukifanya naye jambo lazima akuache beach. Hawa watu wakiwa wanaongea utadhani ni wazalendo lakini kiundani ukijua mambo yao hawana tofauti na Dude yule wa Bongo Dasalamu
  10. Q-liner

    Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana moja kwa moja. Athari za baadaye ni kubwa zaidi

    Acha kelele hakuna chochote hapo kinafanyika zaidi ya mboyoyo. Hela wanagaiana wao kwa wao na vikundi ni vyao,hakuna kitu yoyote utapata hapo zaidi ya commission za watu. Unasema watu wanafundishwa kuchimba mtaro??,usafi?? Hebu kuwa serious
  11. Q-liner

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Hoja yako ni nzuri sana na niseme tu Mama anashauriwa vibaya hawa wajanja waliokuwepo nae wameshindwa kupitisha vi memo ,wamemuingiza King akakubali. Kifuatacho Mkuu wa shirika lolote atakapohitaji kuajiri watu ambao anaowataka atapitia njia za mkato,kwa maana anaweza akatumia kigezo...
  12. Q-liner

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Inaelekea ukiwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dsm ni tiketi ya kupata teuzi za kiserikali. Kuna kitu tawala zetu kinajenga au kinabomoa?
  13. Q-liner

    Habari njema za scholarship (India) kwa course za Diploma / Degree

    India sio pakwenda kusoma tafuta Chuo nyumbani soma,hamna ishu Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
  14. Q-liner

    CRDB - Dodoma Badilikeni

    Wamekua Makanjanja sana. Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
  15. Q-liner

    CRDB - Dodoma Badilikeni

    Lengo la Uzi huu ni kutoa kasoro kwa baadhi ya mapungufu machache kati ya mengi niliyoyaona CRDB- Dodoma. Haya nimeyaona hususani katika matawi ya Mazengo na Chamwino yote yaliyo Jiji la Dodoma. Mathalani moja ya kasoro ya mara kwa mara ni Teller anatumia muda mwingi sana kukuhudumia tofauti...
  16. Q-liner

    Mtanzania mwenzetu yupo Dubai anahitaji msaada

    Iyo tabia ya mwanadamu au ya mbongo!!? Kama unaamua kumsaidia mtu usiangalie nyuma! Maana Kuna sehemu watu wamefika inawezekana pia ni mmojawapo,kwa kusaidiwa hapo walipo! Hao wangetaka kuangalia nyuma kwa kusema hayo, ungefika?
  17. Q-liner

    Msaada: Mkono unapoteza fahamu, tiba tafadhari

    ni mraibu wapombe? Maana iyo inaweza pia ikawa chanzo Cha tatizo
  18. Q-liner

    Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

    Yale Yale! https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1966135/
  19. Q-liner

    Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

    Ndo Yale niliyoyasema sasa, https://www.jamiiforums.com/threads/madai-ya-sumu-mto-mara-kutoka-migodini-wananchi-wazuiwa-kutumia-maji-kula-samaki-uvuvi-serikali-yatoa-tamko.1964374/
  20. Q-liner

    Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

    Jafo Kaunda timu lakini nikuhakikishie,utakuja kuniambia pale hakuna kitu timu iyo itasema. Watasema wavuvi ndio wameweka kemikali ili wapate samaki.
Back
Top Bottom