Search results

  1. Light saber

    What's so special about J Cole

    Nataka nianze kumsikiliza huyu mwamba .. baada ya kujua kuwa Yeye na studio yake wameproduce Soundtracks za kwenye Creed 3 . Wanazi wa hip hop Scars Extrovert Nipeni ngoma tano Bora za huyu mwamba nizisikilize.. itakuwa vyema pia nikipata na facts kumhusu
  2. Light saber

    Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  3. Light saber

    Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  4. Light saber

    Naomba msaada wa kitaalam kwa haya yaliyonipata nikiwa mtoto

    Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi. Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu. Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu...
  5. Light saber

    Special thread: Umwagiliaji moyo

    Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi. I do smoke, I do drink just to get lost in time. Thinking. Stratergzn.
  6. Light saber

    Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  7. Light saber

    Zanzibar The Next UAE /Dubai On Africa?

    Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 . Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla) Real estates projects. Nk.
  8. Light saber

    Familia chanzo cha Yote

    UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani...
  9. Light saber

    Russia moves blood and medical supplies near Ukraine, possibly in preparation for a major military operation: report

    Russia has added blood supplies to its military buildup on Ukraine's border, Reuters reported. This could be another sign its planning to invade, experts said.The supplies could be used to treat casualties if Russia invades. In another sign it could be preparing to invade, Russia has now...
  10. Light saber

    Penzi la udanganyifu

    PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka chochote zaidi ya kutegemea mazuri kutwa nzima. "Siyo mimi ni wewe" Nilipokea ujumbe kwenye simu...
  11. Light saber

    Kwanini hatupendi kuona wenzetu wakifanikiwa?

    Kwa nini HATUPENDI KUONA wenzetu WAKIFANIKIWA? Tunaishi kwenye ulimwengu wa mashindano ambapo tumefundishwa kufanya ulinganifu wa Maisha yetu na ya wengine. Wapatapo mafanikio wnzetu kwetu huwa ni pigo Kubwa Sana, Mara nyingi huwa hatufurahii mafanikio ya WENZETU. Mara nyingi Tunaamua...
  12. Light saber

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  13. Light saber

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
  14. Light saber

    Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

    Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha Mahakama kifunguliwe, ili waingie pamoja na watu wengine..
  15. Light saber

    Pesa za kichawi na kishirikina (Ndagu n.k)

    Najua wewe mwanajamii mwenzangu ushawahi kusimuliwa ama kusikia kuhusu fedha hizo, au mtu mwenye nazo, au uko nazo basi huu ni uzi wa kushare nasi visa hivyo. Mimi niliwahi kusikia tajiri mmoja hivi huwa analala chini, na ana noti ya tsh elfu kumi ambayo haitumiagi miaka nenda rudi ndo...
  16. Light saber

    Mswaki wako una miaka mingapi?

    Nikianza mimi Huwa natumia mswaki wiki mbili Natupa,Yaani ukichange shape yake(ukianza kuchambuka ). Wakuu Embu tujali afya ya kinywa.Unakuta mtu mswaki una Miaka miwili mpaka minne,. Alafu unakuta mtu analalamika mdomo unanuka,Fizi zinauma,. Kwa Hali hiyo ya kutumia mswaki mmoja miaka...
  17. Light saber

    Guys I can't sleep, I feel like I am dying

    My whole body is getting numb and tingly, I can't bear it, I've gone through Tests,I got no Diabetes or Blood pressure. I've take neurobion Tabs nothing works. I've got Arab herbs ,bunch of them still no difference . I can't bear it. Please excuse my English grammar. Little joke before I die...
  18. Light saber

    Computer yangu haiwaki

    Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa
  19. Light saber

    Wangapi huwa mnaambiwa hivi?

    Kwenye archives zangu nimekutana na hii kitu,,,, ni kitambo miaka ya kitabu nlikuwa nazinywa lager kweli kweli ila ndo tushaachana I miss you Mumu
Back
Top Bottom