Search results

  1. rutegeramisi gwategera

    TANESCO yasaini mkataba wa kuzalisha Umeme Jua MW 150 Kwa Bilioni 275. Waziri Makamba apiga marufuku mauziano ya Umeme kwa Dola

    Kiukweli umeme wa maji ni janga kwenye hili la umeme wa Jua kama siyo siasa Waziri apewe maua yake. 275 billion ni hela ndogo
  2. rutegeramisi gwategera

    Msaada:Vifaa vya Ujenzi

    Mkuu hiyo ni kazi usitake vya bure lipa hela wataalamu wakufanyie quotation (BOQ) hii itakusaidia Kama umeweza kujichanga hautashindwa kulipa laki 1.5 au 2 kwa mtaalamu ili akuandalie boq kiongozi lazima uwe na mchoro.
  3. rutegeramisi gwategera

    Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

    Sasa kila kitu mnataka bure hii ni kazi kubwa mnataka wataalamu tuishi vipi? Mnataka wataalam wote tucheze kamali tusaidiane tusitake bure maana wengi tunalipa kodi kwa kazi hizi kuweni wazalendo changia uchumi wa nchi kwa kufanya kazi na wataalamu na taasisi zinazolipa kodi. Kama bado...
  4. rutegeramisi gwategera

    TANZANIA: Turekebishe la Ustaafu wa Siasa!

    Hii mada ilipotezewa kwasababu wengi waliomo facebook ni vijana walio katika ajira wameshiba hawajui kuhusu kesho mevimbiwa na leo, Siku ikifikia umri wa kustaafu watakumbuka mda umewaacha
  5. rutegeramisi gwategera

    Amwagiwa uji wa moto usoni na Mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jamaa alishopona sema ngozi ya kichwa imekuwa nyeusi na hakuna hata unywele
  6. rutegeramisi gwategera

    Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

    Haya makosa yalini gharimu kuwa makini sana unapofanya investment uwe tayari una uhakika wa kukamilisha vinginevyo hata ulichokianzisha kitaharibika bure
  7. rutegeramisi gwategera

    Kwanini mkoa wa Mbeya?

    Mbeya ina matapeli wengi kwa sasa utapeli umehamia kwenye dini na gospel pale hakuna cha Mungu wala nini
  8. rutegeramisi gwategera

    Kwanini mabasi ya Tanga yana vyoo na ya Kigoma hayana vyoo

    Waha siyo wastaarabu ukiwawekea vyoo uwawekee na mabunzi au karatasi ngumu najaribu kuwaza ustaarabu wa waha. Waha acha wapande treni huu ustaarabu wa luxury zenye vyoo ndani bado
  9. rutegeramisi gwategera

    Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Panya road kwa kuwa na wao wanaua Polisi iliwakamata iwaue tu
  10. rutegeramisi gwategera

    Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

    Kiukweli wangemuacha apige mpunga nchi hii ujinga umepita kiwango
  11. rutegeramisi gwategera

    Amwagiwa uji wa moto usoni na Mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Mwanaume mmoja Maarufu Kipara mkazi wa mjini Kibaha (mtaa wa mwanalugali A kata ya Tumbi) yupo mahututi baada ya kumwagiwa uji wa moto na mpenzi wake wa kike kisa wivu wa mapenzi kiukweli picha ni za ukatili wa kutisha nimeshindwa kuweka hapa. Taarifa za uhakika Mke wake huyo tayari...
  12. rutegeramisi gwategera

    Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

    Kuna haja ya kubadilisha sheria tuwe na Police service badala ya Police force inayotumia nguvu na unyanyasaji wa raia
Back
Top Bottom