Search results

  1. Likwanda

    Msaada: Audio Drivers

    Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!! Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack solutions sijaweza kufanikiwa na pia dell drivers online support nazo sijaweza kufanikiwa...
  2. Likwanda

    Nafasi za kazi Exodus Group Limited

    About Exodus Group Limited Exodus Group Limited is a Tanzanian registered company with office at Conner of Chang’ombe and Chamwenyewe Road. The Group runs (among other lines of businesses) catering services through the trading name of MAI Catering Solutions. Currently operating from Dar es...
  3. Likwanda

    Cashiers - Nafasi 3

    Kampuni ya Huduma ya chakula (Catering services) unatafuta vijana watakao ajiri katika nafasi za kupokea na kulipa pesa (cashiers) katk vituo vyake tofauti tofauti. Sifa za Muombaji awe anaelimu hadi ngazi ya Cheti. Awe muaminifu. Awe tayari kufanya kazi nje ya Dar es salaam iwapo atapangiwa...
  4. Likwanda

    Wasanii mnaoshabikia CCM, mnayajua haya?

    Ingawa kila mtu anahaki ya kupenda chama chochote lakini msiseme kua CCM ndio chama kinachowajari wasanii. Walikuwepo wasanii mahiri ambao walikua wahamasishaji wakubwa wa CCM lakini hata walipofariki hao CCM hawakuwapa hata heshima ya kazi waliyofanya ya kuhamasisha uma waichague CCM. Hapa...
  5. Likwanda

    Kwa wapenzi wa online tv kupitia android devices.

    Wakuu, kuna application moja inaitwa PlayTV hii inakupatia channel nyingi sana za tv ambazo zinapatikana online live kabisa. Inachotakiwa ni kudownload Playtv application katika playstore ukishamaliza ifungue itakukupeleka katika link itayokutaka udownload player inayoitwa XMTV Player, ukimaliza...
  6. Likwanda

    Msaada wakuu.

    Naomba msaada wa kupatiwa direct link ya window 8.1 hii http://torcache.net/torrent/29E237EC972C0F1F628300D4C97EDFE355F6B0B8.torrent?title=[kickass.to]windows.8.1.pro.vl.x86.multi6.pre.activated.may.2014 cc chief-mkwawa, njunwa wamavoko, Paje, munjy1 na mwl rct
  7. Likwanda

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Watu ni wengi sana na bado wanazidi kuja, kama ni mechi basi ni sawa na wale wanaoingia katika mechi za simba/yanga wanapocheza na timu za mikoani. Ulinzi naona ni jukumu la askari magereza.
  8. Likwanda

    Nauza Line Tigo pesa.

    Bei ni 750,000 tu, imesajiriwa na inatumika hapa Dar es salaam. Naiuza kwasababu nataka kubadilisha biashara kwa sasa, anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713945665.
  9. Likwanda

    Chopa ya chadema yapigwa marufuku kalenga.

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limepiga marufuku matumizi ya Helkopta katika siku ya uchaguzi wa jimbo hilo. Awali CHADEMA ilitaka kutumia Chopa katika kumpeleka mgombea wao katika kituo chake cha kupigia kura na kulinda kura katika vituo mbalimbali. Source: Clouds TV habari.
  10. Likwanda

    Mobile users: Download aina zote za video moja kwa moja.

    Wadau kuna hii wapsite ya ZinkWapHD.com - Search And Free Download Hd, HQ, Mp4, Flv Videos Free Download Inakupa Movies, music videos na video zinginezo kwa njia rahisi kwa maana hauhitaji downloader application bali ni kusearch tu video unayohitaji na kuchagua format unayoitaka kisha...
  11. Likwanda

    Nani mtani Jembe?

    Je ni yupi ametokelezea zaidi?
  12. Likwanda

    Msaada: Wale wenye yard za kuuza magari.

    Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
  13. Likwanda

    Mbowe naye!

  14. Likwanda

    Jogoo aliyesema

    Je unakumbuka Jogoo aliyesema vs Pazi?
  15. Likwanda

    MSAADA: Binti Mrembo anatembea na Kaka Mwathirika lakini hajui!

    Wana MMU, Jamani mimi nina Kaka yangu Mmoja ambaye ni mtu wa makamo hivi. Huyu kaka aligundulika kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi mwaka 2005 na tangu wakati huo amekua akitumia dawa za kupunguza makari ya virusi vya ukimwi kwa maana kabla ya kugundulika aliugua sana. Tatizo linalo...
  16. Likwanda

    Huwezi kuficha hisia.

    Mtangazaji wa TBC naye amemuelewa vyakutosha katibu mkuu wa CCM, Japokua sheria ya utumoshi wa uma haziruhisu. PICHA HII INADHIHILISHA
  17. Likwanda

    Masaada: Jinsi ya kutengeneza dvd katika mfumo wa divx au avi.

    Wakuu, nilikua naomba kujua jinsi gani mtu unaweza kutengeneza video DVD ya collection kwa kutumia format ya DIVX au AVI ikiwa pamoja na Title na Root menu. Au kwa aliye na ufahamu wa kuweka movie nyingi ktk DVD bila kuweka ktk mfumo wa data anisaidie tafadhari.
  18. Likwanda

    Msaada kuhusu usimamizi wa mirathi.

    Ndugu zangu naombeni msaada wa sheria inayohusu haki ya msimamizi wa mirathi baada ya mirathi kutoka. Mama yangu alipata mtu ambaye alijitolea kua msimamizi wa mirathi, lakini baada ya Mirathi kutoka anadai kuwa kisheria Msimamizi wa mirathi inatakiwa apewe Thelusi moja ya thamani yote ya...
  19. Likwanda

    [b]chukua hii.[/b]

    Hata Ndege Ana Makinda lakini aongozi Bunge. Ni kweli au sio kweli?
  20. Likwanda

    TFF yasalimu amri ya serikali

    HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limelazimika kukubaliana na maagizo ya Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya sakata la katiba ya shirikisho hilo. Awali, serikali kupitia kwa waziri wa wizara hiyo, Dk. Fenella...
Back
Top Bottom