Search results

  1. Likwanda

    Kazi za kutwa viwandani

    Hizo kazi zipo sana katika mkoa wa pwani haswa kuanzia Mwandege hadi Mkuranga, changamoto kubwa ni malipo maana wanaanzia shilingi 5,000.00 hadi 6,000.00 kwa siku. kama unaishi maeneo hayo ni nafuu kidogo ila kama utahitajika kulipa nauli hamna kitu. Pia wachina wanakaba mwanzo mwisho hakuna...
  2. Likwanda

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watu tuapenda biv result now!! Start ikifeli unaacha gari unatembea.
  3. Likwanda

    Ex-wangu kaolewa na rafiki yangu wa damu kabisa hii ni dharau

    Kaka turudishe katika Safari ya Lindi maana muendelezo wake unatutesa sana.
  4. Likwanda

    Tumshukuru Mungu kwa kila jambo...

    Hakuwa na cadilic ya eyoo nicheck!!
  5. Likwanda

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Naona mpwayungu village amepotelea Tabata, namuita kamanda mkuu rikiboy aje amalizie stori.
  6. Likwanda

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Nauli kutoka Dar hadi kivinje ni 11,000.00!! Dar Kilwa ni 13,000.00 umeshasahau kua hata Kivinje pia ni kilwa, pia kuna Kilwa Masoko!
  7. Likwanda

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mwenye rom mzuri ya edge 6+ android 7 naomba.
  8. Likwanda

    Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Mtoa mada acha uzwazwa, mtu kuoshwa ni taratibu ya lazima kwa muislam yoyote atayekufa na maiti yake kupatikana. Kuna heshima ya kumtendea marehemu haswa akiwa alikua na nyumba yake mwenyewe ambayo moja wapo ni kuoshewa nyumbani kwake nai inapendeza wakati kumuosha kama ni nyumbani lichimbwe...
  9. Likwanda

    Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

    Muache aende zake, usijepata kesi bure
  10. Likwanda

    Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

    Alikua mtu makini na mwenye misimamo wakati yupo ITV kupitia kipindi cha sema usikike. Kumbe ilikua njaa tu alipopatiwa ulaji akawa nyota wa kusifia na yale aliyikua anayakandia sema usikike na kukandia yale aliyokua anayasifia.
  11. Likwanda

    Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

    Daraja mkakati wake ulianza wakati wa Jk sambamba na Tazar fly over.
  12. Likwanda

    Unamkumbuka Hemed Maneti Ulaya"chiriku"?

    Alishawahi sema "Dunia aikaliki, ahera hakuendeki nimepatwa na mfadhaiko" katiki wimbo wa V.I.P, hapa naona kama alikua anadhihaki uwezo wa Mungu na Akampeleka ahera ili akakujue vizuri.!!!
  13. Likwanda

    Je, TV Hisense Brand zikoje?

    Boss kama unahitaji nchi 43 mimi ninayo Smart nicheki Dm tuongee biashara.
  14. Likwanda

    Speed ya halotel ni hatari saana

    Ni kweli Halotel imekua na speed kubwa sana kiasi kwamba onlone tv za hd unaangalia bila kuganda ganda.
  15. Likwanda

    Msaaada Online streeming tv App

    Tusaidie nasisi boss!!
  16. Likwanda

    Msaada app inayoweza ku convert movie za format hii

    Kwa kuongezea, pia unaweza kuweka pp baada ya neno youtube pia wakakupeleka ktk download formats kutoka ktk link ya youtube yenyewe.
  17. Likwanda

    Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Usione vyalelea ujue vimeundwa!!! Mkuu investment aliyofanya Azam ktk kufanikisha kwake kuona hizo mechi sio ndogo, kuna ajira, watu wamepata, ushindani umeongezeka na muamko wa soka umekua mkubwa. Vile tulivyokua tunaviona DSTV sasa vinaonekana Bongo, tumpe sifa amefanya kazi kubwa sana...
Back
Top Bottom