Search results

  1. N

    Jarida maarufu lasifu ndege ya Magufuli

    Jarida lasifu ndege mpya za Magufuli JARIDA mashuhuri duniani la Forbes, limezitaja ndege aina ya Bombardier Dash8 Q400, ambazo tayari Tanzania imezinunua kuwa ni zenye usalama, zinazotumia mafuta kidogo. Limetabiri kuwa zitakuwa nguzo muhimu kwa usafiri wa bei nafuu kwa nchi mbalimbali...
  2. N

    Mchezo wa siasa na bao au karata tofauti yake ni ndogo sana.

    Katika nchi kama Tanzania vyama vingine (vya upinzani) japo huaga sipendi kuviita vya upinzani labda niviite vya mageuzi au vya maendeleo, hua vinakosa ushindi kwenye chaguzi kuu kwa sababu ya tamaa ya madaraka ambayo huzaa mgawanyiko na kukifanya chama kinachotawala kubakia na wapenzi wengi...
  3. N

    Computer yangu Intel inagoma ku-display

    Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya kuirudisha katika hali yake.
  4. N

    Computer yangu Intel inagoma ku-display

    Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya kuirudisha katika hali yake.
  5. N

    Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

    Utasikia mtu tangu anaanza safari asubuhi mpaka anafika safari yake jioni anapiga simu kila baada ya dakika kumi kutambulisha alipofika, utadhani kabeba pembe za ndovu..!!
  6. N

    Kifo sio mwisho wa binadamu, maisha yanaendelea

    Hivi binadamu akifa ndio imetoka sawa tu na ng'ombe, mbwa, mbuzi, nzi, n.k.? HASHA: Sikia jibu kutoka kwa Yesu mwana wa Yehova aliye Hai; "Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa...
  7. N

    Walimu wa miaka ijayo..!! Duh..!!!

    Kwa jinsi baadhi ya form one walivyo wadogo kiumri, inaashiria kwamba kwa baadae kutakuwa na walimu watakaokuwa kwenye peer group moja na wanafunzi wao, ina maana kwamba walimu na wanafunzi wao wote watakuwa adolescents, ina maana kwamba wote watapita chocho zilezile, ina maana kwamba...
  8. N

    Jumapili njema wapendwa mbarikiwe.

    POKEENI BARAKA ZA YEHOVA NINYI NYOTE MNAOMTUMAINIA:- "Bwana akubarikie, na kukulinda; Bwana akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; Bwana akuinulie uso wake, na kukupa amani." Kwa Jina la Yesu, Amina. (Hesabu 6:24-26).
  9. N

    Mzigo mzito mtwishe mnyamwezi.

    Kweli nimeamini msemo usemao "mzigo mzito mtwishe mnyamwezi" kuna viongozi fulani wa serikali ya wanadamu waliomba fedha kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye nchi hiyo, badala yake wakazikwapua zote, lakini wafadhili wao wakawa wanahitaji taarifa ya matumizi. Wakaamua kuwatwisha walimu...
  10. N

    Tuuenzi muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Maadili ya muumgano yafuatwe, ambayo ni:- 1. Viongozi kujali maslahi ya umma (watu wote) kuliko biashara zao binafsi wakiwa madarakani. 2. Kwamba rushwa ni adui wa haki, na watu wote waseme amina. 3. Kwamba bungeni sio shamba la bibi, hivyo wabunge wajipangie mishahara ambayo tofauti...
  11. N

    Walimu wawakomba walimu wenzao mishahara yao.

    Polen wlmu, (cwt) inakusanya sh bil2.2 kw mwez kutoka ktk mishahara yenu, na kwa mwaka ni kiasi gani? Cwt haikaguliwi na c.a.g mahesabu yake , wabunge wana shaka juu ya viongozi wa chama kujinufaisha , walm wapya wanakatwa makato bila kujulishwa, mkistaafu cwt haijaeleza wanachama...
  12. N

    Naomba msaada laptop imepoteza brightness control

    Wana JF laptop yangu imepoteza uwezo wa kuongeza au kupunguza brightness baada ya kubailisha window 7 home pentium, version ya microsoft office 2010 kwenda window 7 ultimate version ya 2007 wakati wa ku-partition. spec. ni Dell Inspiron M5040 AMD speed ni 1.65GHz, ram 4.00Gb na hdd ni 582Gb...
  13. N

    Je, ni kweli kizazi hiki wana hatari ya kuwa vipofu na viziwi?

    Kuna shirika moja lisilo la kiserikali, la Rural Future Vision (RFVi), linadai kamba kwa sababu ya kutumia sana earpiece/headphone kusikiliza muziki wa kwenye simu baadhi ya vijana wa leo watapungukiwa na uwezo wa kusikia vizuri watakapofikisha umri wa miaka kuanzia 78 na kuemdelea. Pia...
  14. N

    Kwanini watu wanapenda kuvaa mitumba?

    Jamani, hivi kwanini wanawake wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.
  15. N

    Nini tofauti kati ya MPENZI na MKE?

    Hivi ni kwa nini siku hizi watu wengi hasa vijana wa kike na kiume wamekuwa na mazoea ya kuishi kama mke na mume ilhali hawajaoana? Mara nyingi kisingizio ni 'mpenzi' wangu. Utasikia kijana anajitapa, huyu ni mpenzi wangu nimezaa naye watoto wawili. Ninachofamu mimi wanaozaa watoto ni wanandoa...
  16. N

    Je, ulihitimu F.4 Ifakara Sekondari mwaka 1985?

    Jamani hakuna ma classmates humu jf? Tuwasiliane tujuzane mafanikio baada ya miongo kadhaa kupita.
  17. N

    Mafisadi wagawa fedha kama njugu kwa wananchi

    Wakuu, mna habari kwamba mafisadi wameficha fedha kwenye m-pesa za watz wote? Sema tu wamezipiga pini hazichukuliki wala kuhamishika. Ni substancial amount, laki 8, 7, sita n.k. mpaka bank accounts updating itakapomalizika watazirudisha kwenye original a/c.
  18. N

    Massive theft at Mkwawa University!

    THE Parliamentary Public Organization Accounts Committee (POAC) has formed a probe team comprising three legislators to investigate fraud at Mkwawa University College of Education after discovery of massive theft of money. This come two days after a Loans Board official, Ester Budili...
  19. N

    Hivi kwa nini biashara ya albinos' organs hushamiri kipindi cha kampeni za uchaguzi?

    Hivi kwa nini biashara ya albinos' organs hushamiri kipindi cha kampeni za uchaguzi? Imenibidi kuuliza swali hili coz vitendo vya mauaji ya albino, uchunaji ngozi, safari za bagamoyo kufukizwa ubani na kuvalishwa mihirizi, hujitokeza zaidi kipindi cha karibia uchaguzi.
  20. N

    Wasanii wa Tanzania wanaswa kwenye mtego wa Cameron

    Uchunguzi uliofanywa hivi majuzi kuhusu mtizamo wa wasanii wa tz towards sera ya usenge, imebainika kwamba, baadhi ya wasanii wa kiume, hasa wale wanaopenda kuvaa heleni, chachandu/shanga, mlegezo na kuonesha tuchupi/tumatako a.k.a tumasaburi, kukarikiti nywele, kusuka nywele, kujipodoa kama...
Back
Top Bottom