Kwa kawaida mtu mwenye akili ndogo hawezi kuelewa kitu ambacho hakakiona kwa macho, kuamini kwamba Mungu yupo ni kuiruhusu akili ione badala ya macho. Mtu mwenye akili ya kawaida husubiri macho yapige picha ya kitu yapeleke hiyo picha kwenye ubongo kwa ajili ya kukitambua. Lakini mtu mwenye...
Bila shaka hapingi uwepo wa Mungu ila ameshindwa kabisa kuelewa kama Mungu yupo yaani imemuwia vigumu kuweza kuelewa kitu ambacho hajakiona kwa macho. Anajua kwamba magari, majumba, nk, yapo kwa sababu ameyaona kwa macho.
Kuamini ni kazi ngumu na yenye kutumia akili nyingi zaidi kuliko kufikiri maana kufikiri kuna ukomo kutegemea uwezo wa ubongo. Lakini kuamini kwa dhati ni kushughulika na kitu ambacho hakionekani kwa macho (invisible), hakigusiki (intangible), hakiingii akilini, hakisikiki (inaudible), yaani...
Sio suala la kumzuia ni mwongozo wa wizara ya elimu kwamba siku za kuhudhuria masomo ni tuseme, 198 siku zinazobaki ni weekend, sikukuu na siku za likizo, sijui kwa nini walimu wakuu wanapingana na anateandaa mitaala
Wapo sahihi kabisa kufanya mchakato wa kumtangaza Mtakatifu, ukifuatilia watawala wenye itikadi ya kijamaa na kikomunisti Nyerere was the only committed christian. Wenzake akina Mao, Che Guevara, Castro, Brezhnev, Nguyen Kim il Sung, n.k., Kingunge, nk waliabudu Manifesto za vyama vyao.
You are right, in private schools the graduates are needed only during the registration of a school. After that it is form six leavers who are cheaper and more efficient at work.
😂😂😂 Sasa hiyo akili ndio tueleweshane maana hata wao wamesoma hayo maadiko wasije wakatuzidi hiyo akili kama Hawa alivyoonesha kumzidi akili Adamu akaanza kumuelekeza Cha kufanya wakati Adamu ndie aliyeumbwa kabla yake.
Hapo umetoa ufafanuzi mzuri sana, maana kinachotajwa ni kupanda kutoka 25% kwenda 33% tu, lakini hawataji kushuka kutoka 1/540 kwenda 1/580 na kushuka kutoka miaka 15.5 kwenda miaka 12.5 ambavyo vinapunguza sana mkupuo.
Nashukuru sana kwa maelezo hayo nilikuwa na mashaka kuhusu Suzuki Carry kumbe shida imetokana na overloading na misoto mingine lakini otherwise gari ni nzuri na imara ni matunzo tu, asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.